nisaidieni kuhusu hili swala la mwalimu kumtaka mwanafunzi wake kimapenzi

wakozuka

Member
Mar 24, 2011
29
3
jamani nina mdogo wangu wakike ambaye hivi majuzi tu kanieleza kuwa mwalimu wake wa somo la historia anamsumbua na kkumtaka kimapenzi, kwa kweli niliishiwa pumzi na hata kukosa jinsi ya kushughulikia hili swala. shida ni kwamba asasi gani au kitengo gani katka serekali naweza enda shtaki hili, nahata mwalimu huyo siweze endelea na hako ka mchezzo, kwani nikimshughulikia mimi atamuacha mdogo wangu lakini je? vipi kuhusu hao watot wengine?
 
Muandike jina lake humu mtandaoni na jina la shule ujumbe utamfikia tu na ataacha
 
Anamtakaje?Mdogo ana umri gani,anasoma ngazi gani ya elimu?Utaratibu rahisi ni kumfikisha kwa mkuu wa shule kwa malalmiko au kama ukienda polisi basi kesi iwe ni harassment.Kimsingi ukiona ndugu yangu kakwambia ujue yeye hajavutiwa na huyo ticha na ushukuru kakuamini.

Kwa kuanza nenda muone huyo mwalimu uongee naye kuhusu ilo swala na umtahadharishe juu ya hatua unazoweza kuchukua iwapo ataendelea na huo mchezo
 
piga hela hapo ww mwite mwambie aache hiyo tabia na alipe faini ya usumbufu .....
 
Anamtakaje?Mdogo ana umri gani,anasoma ngazi gani ya elimu?Utaratibu rahisi ni kumfikisha kwa mkuu wa shule kwa malalmiko au kama ukienda polisi basi kesi iwe ni harassment.Kimsingi ukiona ndugu yangu kakwambia ujue yeye hajavutiwa na huyo ticha na ushukuru kakuamini.

Kwa kuanza nenda muone huyo mwalimu uongee naye kuhusu ilo swala na umtahadharishe juu ya hatua unazoweza kuchukua iwapo ataendelea na huo mchezo
Nakushauri weka mtego wa kupata ushahidi juu ya madai yako.

Ukikurupuka kuwapelekea tuhuma bila ushahidi watakugeuka kuwa umewachafua.

Ongea na binti yako umpatie namba ya simu walau wafanye mawasiliano kwa njia yoyote. Hii itakuweazesha kupata ushahidi pa kuanzia.
Ushahidi huo unatosha kwenda não kwa mkuu wa shule ili mwalimu asiendelee na nia ovu, ukienda polisi hakuna kosa lá kutongoza.

Kama muda wa kufuatilia unao,weka mtego kupitia mawasiliano utakayompatia binti yako ili wapange mahala pá kukutana na,hapo wataarifu polisi ili wafatilie nyendo zao wakati wanapanga kumalizana.

Kikubwa, ongea na binti yako ajifunze na kuendelea kukataa kudhalilishwa na wanaume mafataki kwani ni hatari kwa maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida yote ya nini? Amtaje tu humu
 
Muandike jina lake humu mtandaoni na jina la shule ujumbe utamfikia tu na ataacha
Hii kesi ni ya 2012, sidhani kama hata mleta mada anaikumbuka tena.

Labda iwe endapo kuna mtu mwenye kesi inayofanana na hii ufuate huu ushauri wako.
 
jamani nina mdogo wangu wakike ambaye hivi majuzi tu kanieleza kuwa mwalimu wake wa somo la historia anamsumbua na kkumtaka kimapenzi, kwa kweli niliishiwa pumzi na hata kukosa jinsi ya kushughulikia hili swala. shida ni kwamba asasi gani au kitengo gani katka serekali naweza enda shtaki hili, nahata mwalimu huyo siweze endelea na hako ka mchezzo, kwani nikimshughulikia mimi atamuacha mdogo wangu lakini je? vipi kuhusu hao watot wengine?
Mbona naona hii ni ya 2012!
Au ni kwangu pekee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ajue chini ya 18 ni ubakaji na adhabu yake inajulikana. Above 18 kama kakubali mwenyewe swala la kumharibia masomo na adhabu ipo. Mwambie mwalimu kwamba mlango wa segerea upo wazi hapati shida kuingia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka mtego bila hivyo hautaweza kufanya chochote....tena mrecord voice, msg na unamaliza wakiwa chumban....

................................
sasa kaeni makofi yametosha!
 
Hii kesi ni ya 2012, sidhani kama hata mleta mada anaikumbuka tena.

Labda iwe endapo kuna mtu mwenye kesi inayofanana na hii ufuate huu ushauri wako.
Kama ndio hivyo huyo mwalimu kama alimkula huyo mtoto na akamtandika mimba mtoto aliyezaliwa atakuwa yuko std 2 shule za St. Kayumba
 
Back
Top Bottom