Nisaidieni katika hili waungwana

msikivuTz

Member
Apr 17, 2011
68
407
Heshima kwenu nyooote, jaman mi nimeajiriwa serikalini mwez wa 3 mwaka huu kuja kituro mbeya, kusema ukwel hali ya hewa ya huku imenishnda, nataman nihamie kituo cha kuzalisha mbegu (sperm) pale NIC ARUSHA, ila cjui nianzeje! plz nisaidien procedures
 
kwa kuongezea tu ni kwamba hapa kituro na hicho kituo cha kuzalisha mbegu za kiume za ng'ombe cha hapo arusha tupo idara moja ya livestock production and marketing.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom