nisaidieni jf doctors.

Dawa mbadala ya presha ya jicho na mtoto wa jicho ukiacha operation

Fika hospitali na kumwona daktari bingwa Wa macho atakuandikia dawa kupunguza pressure ya jicho. Kwa mtoto Wa jicho mara nyingi unaweza kuhutaji upasuaji ili kuondoa, ni operation ndogo na wengi huona tena vizuri baadae
 
Mtoto wa jicho (cataracts) hauna namna ya kuikimbia hiyo procedure (phacoemulsification) as surgery is the only effective way about it. Ni procedure ndogo tu (unless kama una kisukari), huna cha kuwa na wasi.
 
Back
Top Bottom