Nisaidieni jamani

I've been told by many of my friends and the most trusted people that "THERE MUST BE FIRST REJECTION WHERE THERE IS TRUE LOVE" about a week ago i met a girl at seminar somewhere,infact i was attracted at max than ever and i just findng myself NAFUNGUKA just on the second day after meeting her,wonderful enough my proposal was accepted at easy an she seem 2care much abt me though cjamjua vizuri wala kumzoea xana ila nimempenda xana siwezi ficha na kubwa zaidi linalonipa utata SHE IS SO EASY WITH ME TO EVERYTHING,ur opinion has great impact 2my welbeing please

Sanaa iliyochorwa mchangani si sawa na ile ya kuchongwa. Ya mchangani ni rahisi kuichora na rahisi kufutika kulinganisha na ile ya kuchongwa!
 
Una haki ya kushtuka kwa kukubaliwa kiurahc kwan ni hali ambayo hukuizoea wala kuitegemea. Yote yanawezekana huyo my baby wako anaweza akawa hajatulia lakini pia anaweza kuwa ametulia kwani kadunia ke2 kamefanywa kijiji na utandawaz hvyo hayo mambo ya sitak nataka wakati unataka yamepitwa na wakati kwa baadhi ya wenzetu, inawezekana na yy alikupenda kama ulivyompenda yeye na ndio sabab akakukubal haraka. cha kufanya take time, mchunguze naamin baada ya muda utaweza kuchuja mbivu na mbichi. Hongera kwa kupata kiurahc na good luck
 
Thanx buddie
 
Hivi hili swala la kukubaliwa kirahisi haliendani na swala la kutakwa kirahisi?

Maana hapa nashangaa ni haki kwa shemeji kuzikubali na kuziexpress hisia zake kwa dada hapa siku ya pili baada ya kumwona lakini sio haki kwa dada kuzikubali na kuziexpress hisia zake siku ya pili baada ya shemeji kumtokea!

Kumbuka hakuna formula tofauti juu ya hisia za kimapenzi baina ya mwanamke na mwanaume!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mwanajamii thanx i real appreciates ur opinion
 
Back
Top Bottom