- Thread starter
- #41
scrapper? hajamkosea chochote remember...
jamani sio scapper!!
scrapper? hajamkosea chochote remember...
cartura vitu vingine ni factor ya emotions za mtu binafsi. Mfano mimi umenioa hata likizo tu siend kwetu kufanya nini? tunaandamana hadi kieleweke nikienda kwetu tuko wote na tunalala pamoja nikienda kwenu vivyo hivyo na likizo tunachukua pamoja siyo mm mwezi wa sita wewe dec hamna kitu.ndani ya mwaka mmoja na nusu tu kishakuwa bored! akifikisha miaka 20 au 30 si ndiyo hatataka hata kumuona?
GALIMA nisemapo scraper namaanisha wanaume ni watu ambao tayari walishatumiwa na mtu mwingine yaani %kubwa hawaoi wakiwa mabikira kama ambavyo wanawake wengi wanalewa wakiwa mabikira. lakin simtusi wa kumoyo wako mpenzi.jamani sio scapper!!
GALIMA nisemapo scraper namaanisha wanaume ni watu ambao tayari walishatumiwa na mtu mwingine yaani %kubwa hawaoi wakiwa mabikira kama ambavyo wanawake wengi wanalewa wakiwa mabikira. lakin simtusi wa kumoyo wako mpenzi.
kiac but moyo wangu upo upo tu anatia huruma
huenda.and i wish to concieve kwa mwendo huu itawezekana kweli
kiac but moyo wangu upo upo tu anatia huruma
mbaya zaid bado cna mtoto je nikimpata nahic kama hali itazidi.nifanye nn??
Unamfahamu manyaunyau?..DU! HAPA JF NI KIBOKO MAJIBU YANATISHA. Lo!
Galima,mmeamkaje? Kaupepo kashapita?