Nisaidieni Jamani

huyu mtoa mada mbona haonekani! Aje hapa ujielezee vizuri.....mana kuna mdada ninamdate na hzo descriptions zote anazo! Kwa habari zaidi ani Pm tujulishane!
 
what.jpg Mambo yote Msimbazi Tonge Nyama. kwa raha zetu Bongo.
 
Yani hapa tunampigia mbuzi gitaa...kwa jinsi Jamaa alivyonesha kum'detest' huyo dada yani ni lazima atamuacha tu! na machozi yatamwagwa...
Yote tisa ila Jamani mwanamke akiwa hivyo ni shida sana..
Ila si shida kama mtu kumuelezea vibaya hivi mtu aliyeumbwa na Mungu Baba yetu kihivi! for God's sake she is not a bag of tomatoes, she is a human being with feelings!!!!!!
 
wewe mwache kama unamwacha....
ila hapa hamna wa kumdiss ili uone ni sawa kumuacha.....
maana ndicho unachokitaka....
kwa kukusaidia hatuangalii urembo wa nje tunavyochagua wenza.....bali chemistry if she is making you happy thats what matters......
kesho utamuopoa mtu ana figure namba nane,kehokutwa atazaa watoto shape itaharibika utamuacha pia??????.....au wewe mama yako bado ana umbo kama alivyokuwa msichana pamoja na ku go menopause????.....anyway nahisi utineja bado unakusumbua,maana hao ndio wanaringishiana kuwa na 'demu mkali' wa kuendea disco,lol soon ukikuwa kidogo utayaona maisha katika hali halisi.....
 
Mmh we utakuwa ujampenda huyo dada ungempenda ungefanya juu chini mpaka akawa unavyotaka,ungempeleka hata kwenye mazoezi,we ulitaman tu
 
Preta usihofu na tumbo,Ni uamuzi wako liendelee kuwepo au lipungu

Kwani wewe linakukera?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom