Nisaidieni jamani mwenzenu

dodoso33

Member
Oct 9, 2012
38
11
wakubwa zangu shikamoni
naombe msahada wenu katika hili nina laptop yangu ndogo ACCER ambayo ina WINDOW 7 STATER tatizo kubwa nikiweka flash,modem au usb haisomi kabisa yani mpaka nichomeke flash kwanza ndio niwashe laptop huku flash nikiwa nimechomeka ndio inasoma kwa kweli napata taabu wakubwa zangu nisaidieni
natanguliza shukrani
 
flash na modem karibu zote ni "PLUG AND PLAY" yani ukiweka inasoma hapohapo. Update au hakikisha drivers za plug n play devices ziko sawa.
 
drivers gani niweke hasa hasa natanguliza shukrani

Andika google ''acer (aina ya hio acer) usb driver''

Result zikija lazma utakuta website ya acer imetokea kwenye result click hapo utaona driver zake

Alternative nenda link hio apo chini then chagua pc yako then download

Download
 
Back
Top Bottom