Nisaidieni jamani mwanamke katishia kuniua

Mtoto wa Ivunga na Irina Kalashnikova hapo baada ya miaka 2 akiwa na bibi yake Tatiana Gagarina.

zebra_baby_1.jpg

Huyo mtoto tutamwita Ksenya Ivuganyikova,,, hehehehehe!
 
dah!! mkuu naona unafurahia hii kitu sana .sio fresh mkuu hii kitu inaweza kukutokea hata wewe kwanza wewe unaweza kukutwa ndani kwa demu na vijeba vikakushughulikia huwezi jua nn manake hata wewesi ni mwanaume? ahhahaha wewe nicheke tu ila zamu yako unaweza kuta inakuja

Sifurahii mkuu, ila nasikitika sana kuona kuwa unakuwa mbishi ilhali ukweli unaujua.....
Tazama utabiri wa Sikonge hapo juu...
 
Poa kabisa ndugu yangu. Mambo ni harashoo kabisa kabisa.

Pole na yaliyokukuta. Msiwe mnacheza na Mabinti wa Kichina maana wakija na Ndomu zao, haziwafiti. Watu wameficha vimiguu vya watoto kati ya mihuu, inakuwa kasheshe. Si panawakati Tanzania ilizirudisha Ndomu kutoka Korea maana TBS walisema kuwa haziko kwenye Standard ya Watanzania. Khaa??!!, mwee..... sisi wenye Vibamia kumbe si Watanzania ennhh!!!
hahahaa mkuu sikonge habari yako mzee
 
Halafu kuna mada aliianzisha PJ kuhusu member wa JF akiaga dunia, kama je tuliweke wazi jina lake au tusiweke.. Kwa kuwa mkuu umebahatika kujua kuwa utafariki muda si mrefu unaonaje ukatoa ruhusa kabisa ili wana-JF wanaokujua waweze kutoa jina na picha yako ikiwezekana?

Ni ushauri tu huo kaka!
 
kwa kweli ni kama movie fulani hivi.tena ya comedy,iliyobaki ivuga utuwekee picha yako kwani wengine hatukufahamu ili lolote litakalotokea,angalau tumjue ivuga.inaonyesha ulikua na kiu sana na huyo m.ke,haya na huyo g.friend wako akija kujua jee?s.times mimba usiyoitaka,ndio inaingia mara moja.iliyobaki wewe subiri siku baada ya siku 14,anza kuhesabu kabisa

kuhesabu kifo au?
 
mkuuwewe hujapata picha huyu mdada alivyonipiga mkwala alinitukana mwanzo mwisho nimeomba msamaha nahataki kunielewa sasa nimekaa tu hapa naomba asipate mimba na badae kama vipi nitaweka picha yake ili hata nikipotea mjue nani kampoteza mwana JF

mh weka picha hapa??????????????????usidhubutu
 
Uwiiii uwiiii, mbavu zangu mie. Akiwa wa kiume je?

Kwa heshima ya George Bush, kaitwe Georgiy Ivunganyikov. Katakuwa kachimba madini .......
Huyo mtoto tutamwita Ksenya Ivuganyikova,,, hehehehehe!
 
Halafu kuna mada aliianzisha PJ kuhusu member wa JF akiaga dunia, kama je tuliweke wazi jina lake au tusiweke.. Kwa kuwa mkuu umebahatika kujua kuwa utafariki muda si mrefu unaonaje ukatoa ruhusa kabisa ili wana-JF wanaokujua waweze kutoa jina na picha yako ikiwezekana?

Ni ushauri tu huo kaka!
poa hiyo inaruhusiwa ila ila uweke mpicha wa ukweli hapa lakini hapo nni kama accedentally nikitangulia kwenda kwa sir GOD buta kwa sasa kama unamjua mtu huwezi kuweka details zake hapa ila kama kweli huyu mtoto mimba ikimkamata itapidi nitafute mtu nimpe details zangu kabisa ili wana jf wahabarishwe
 
kaka we kiboko!
 
Ivuga, usilie sana kwani kusafisha ngozi nako ni muhimu.

Ona mwenzio alipata katoto safi na kakashinda kwenye Playboy....

Ida Ljungqvist akiwa katika Pozi zito. Mama wa Kitanzania alikafyatua...

lindquist.jpg

Ida Ljungqvist - Wikipedia, the free encyclopedia

mkuu sikonge mtoto alikuwa na nywele nyeusi ivi ivi sema yeye vimaziwa vyake vilikuwa vimesimama kidogo na lips ndogo yaani kisura cha babegirl :) jamani mimi hata niikifa msijemkasikitika sana bora nitubu tu ili niende kwa sir GOD thats all
 
poa hiyo inaruhusiwa ila ila uweke mpicha wa ukweli hapa lakini hapo nni kama accedentally nikitangulia kwenda kwa sir GOD buta kwa sasa kama unamjua mtu huwezi kuweka details zake hapa ila kama kweli huyu mtoto mimba ikimkamata itapidi nitafute mtu nimpe details zangu kabisa ili wana jf wahabarishwe

Noted,,
Kalale pema peponi kamanda,,
Ivuga tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi...
Tangulia, wewe mbele, sisi tuko nyuma yako,,,:disapointed::disapointed:
 
Noted,,
Kalale pema peponi kamanda,,
Ivuga tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi...
Tangulia, wewe mbele, sisi tuko nyuma yako,,,:disapointed::disapointed:

:car: ahahaha oya man sio fresh kuwanga bado mapema mno nishasema mtoto yuko vacation anarudi after 2 or 3 weeks sasa akirudi ndio hapo nitajua kuwa kimewaka au nitaendelea kudunda bado
 
mkuu sikonge mtoto alikuwa na nywele nyeusi ivi ivi sema yeye vimaziwa vyake vilikuwa vimesimama kidogo na lips ndogo yaani kisura cha babegirl :) jamani mimi hata niikifa msijemkasikitika sana bora nitubu tu ili niende kwa sir GOD thats all

Inaonekana ulifaidi kweli,
ila ngoja, siamini. Hebu weka picha yake na sisi tumuone.. Isije ikawa..............hata Lucy Kibaki akawa na nafuu
 
:car: ahahaha oya man sio fresh kuwanga bado mapema mno nishasema mtoto yuko vacation anarudi after 2 or 3 weeks sasa akirudi ndio hapo nitajua kuwa kimewaka au nitaendelea kudunda bado

Hivi ni akili yangu haiko sawa au?
Ulisema kwamba akigundua kuwa ana mimba yako anatuma watu siyo?
Au labda huko alipoenda hawana kabisa vifaa vya kupima mimba?
Hata kama hawana na ilhali ana wasiwasi kuwa umemnywesha si ataondoka na vifaa vyake toka kwao?

Halafu mkuu kuna ishu ya urithi, unaizungumziaje? Mi nitakusaidia kum-take care Semegi!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom