Nisaidieni jamani mwanamke katishia kuniua

mkuu wewe pata picha mwenyewe condom kwanza msichana mwenyewe ndie alizinunua hpili zilikuwa ndogo kwangu na tatu ninauhakika ilitoka wa sababu by the time mzuka ulikuwa ushatupanda mdada makelele mtindo mmoja mwanamme napiga kazi na speed kali sana nje ndani yaani nilikuwa napiga masafa marefu na kitoto ni kiportable kweli sasa nadhani kutokana na ile speed kali ndio maan mpira ukatoka
Haya bana... hivi ndogo ndio inavuka au kubwa?
 
duuhh haya mkuu..
hakuna break, hakuna full stop ni full acceleration
ooohh dear
Ivunga Ivunga Ivunga..

eehh hiyo speed hatari ..

kama ulikuwepo vile ...but afro sikia ..huyu mdada nilikutana naye tr 21 ..so sijui mimba itaanza kuonekana baada ya mda gani ili nikae mkao wa kula kabisa
 
Haya bana... hivi ndogo ndio inavuka au kubwa?

ikiwa ndogo lazima uivae nusu binti hakuweza kuivalisha condom yote ...but wewe binti mwenyewe alikiri kuwa mjamaa ni mkubwa sasa wewe nakushangaa ukibishana na binti aliyeshuhudia mwenyewe. wewe hapo umeangalia upande mmoja tu
 
AD, mama kishatishia kuua mtu hivyo anaonyesha wazi kwamba hautaki ujauzito huo. Haya mambo ya minba ni bora kuchukua tahadhari mapema maana mama anaweza kutoziona siku zake akamjia juu Ivuga kwamba hazioni siku zake ndiyo hapo Ivuga atamjibu akazitafute kwenye kitanda (kama ilikuwa kitandani maana siku hizi kuna mikao ya kila aina) walichonanihii. Mzima lakini AD? Miye poa kabisa.

hahahahaah lol
oohh dear
umenichekesha sina hamu..lol
eti kwenye kitanda... (BAK kumbe hata weye unavichekesho hivyo dear)

mimi sijui kwa nini kichwa cha hii topic ni "nisaidieni jamani mwanamke kanitishia kuniua"

hahahah lol
unajua kama mimba haikupagwa hiyo ndo reaction ya mwamke..
kumblem mwanaume..
lakini ukiangalia kwenye big picture hata asimuonee Ivunga wetu..
nusu ya makosa yake..(huyo dada)

nway AD mzima kabisa
Vipi wewe waendeleaje my dear friend?lol
 
Ivuga lets be honest Mkuu this is fiction lakini kwenye process ya hii story tumejifunza mengi !!!! GOOD POST

"I dont have to be Sherlock Homes... To detect some flaws in this post"
 
ikiwa ndogo lazima uivae nusu binti hakuweza kuivalisha condom yote ...but wewe binti mwenyewe alikiri kuwa mjamaa ni mkubwa sasa wewe nakushangaa ukibishana na binti aliyeshuhudia mwenyewe. wewe hapo umeangalia upande mmoja tu
haya bana... pole kwa yaliyokukuta
 
kama ulikuwepo vile ...but afro sikia ..huyu mdada nilikutana naye tr 21 ..so sijui mimba itaanza kuonekana baada ya mda gani ili nikae mkao wa kula kabisa

oohh dear

mimba haianzi kujitokeza mpaka miezi 2 nakuendelea..

lakini baada ya 2 weeks afanye pregnant test..( afanye mara mbili)

ukifanya wiki ya kwanza haitaonyesha kitu..
kwani inachukua wiki mbili kwa yale maji matakatifu kuchanganyika na
mavituz ya mama hahaha lol
 
AD, mama kishatishia kuua mtu hivyo anaonyesha wazi kwamba hautaki ujauzito huo. Haya mambo ya minba ni bora kuchukua tahadhari mapema maana mama anaweza kutoziona siku zake akamjia juu Ivuga kwamba hazioni siku zake ndiyo hapo Ivuga atamjibu akazitafute kwenye kitanda (kama ilikuwa kitandani maana siku hizi kuna mikao ya kila aina) walichonanihii. Mzima lakini AD? Miye poa kabisa.
ni kweli mkuu kwa sababu mdada wa watu aliniambia kabisa kuwa hataki kuwa na mimba na wala hataki kutoa mimba so akaniambia tufanye safe sex na mimi nikamhakikishia sasa ndio maana yupo kwenye tempa kubwa sana
 
hahahahaah lol
oohh dear
umenichekesha sina hamu..lol
eti kwenye kitanda... (BAK kumbe hata weye unavichekesho hivyo dear)

mimi sijui kwa nini kichwa cha hii topic ni "nisaidieni jamani mwanamke kanitishia kuniua"

hahahah lol
unajua kama mimba haikupagwa hiyo ndo reaction ya mwamke..
kumblem mwanaume..
lakini ukiangalia kwenye big picture hata asimuonee Ivunga wetu..
nusu ya makosa yake..

nway AD mzima kabisa
Vipi wewe waendeleaje my dear friend?lol

Hahahahahahahahaa kitandani siku hizi watu hawataki kilikuwa kinatumiwa mwaka 47 kuna miondoko mipya ambayo kitanda hakihitajiki kabisa LOL! wanacheza kwenye viwanja mbali mbali lakini si kitandani. Miye poa sana AD, namshukuru Muumba wetu kwa afya njema.

Vipi cricket na rugby utaenda mazoezini kesho? hahahahahahah au utaenda kucheza soka LOL!. Unafuatilia Tennis hapo kwa jirani zako? Miye kama hawamo wale akina Williams basi motisha hupungua sana lakini semi finals za wanaume kutakuwa na kivumbi na jasho.

""Omg, man, I'm so angry with you!!! You left a condom inside me!!! What have you been thinking of??? And which one was it? I hope not the one you cumed with??? Cuz if it's the last one, you could get me pregnant!!! Why didn't you tell me it happened?!!!! It's was so ****ing selfish of you... Omg, I'm gonna cry now... You f***d me and left a condom inside me!!! F**!!! Man, it's sooooooo very bad!!!'""
na ni kweli iliyobaki ndani ndio hiyo ambayo mimi nilindani imepasuka

Hii qoute ndo maneno yake yote?
Mbona sijaona hilo tishio hapo?
Ila mwana hawa watu wakisema sometimes huwa wanamanisha, kama vipi kimbia kajifiche kwa muda... Au jitahidi kujishusha na kumwomba msamaha. Siku nyingine usiende kulala kwa hawa watu mdogo wangu, tutakupoteza........
 
Ivuga lets be honest Mkuu this is fiction lakini kwenye process ya hii story tumejifunza mengi !!!! GOOD POST

"I dont have to be Sherlock Homes... To detect some flaws in this post"
i swear sio fiction naweza kupost mlolongo wa meseji zote nilivyoanza kuchart naye hadi akanialikwa kwake na alivyonipa adress yake kila kitu kipo ..nnachongojea tu ni akiniambia kuwa anamimba basi nitaanza kuwaaga ila nitaendelea kujaribu kumbembeleza
 
ni kweli mkuu kwa sababu mdada wa watu aliniambia kabisa kuwa hataki kuwa na mimba na wala hataki kutoa mimba so akaniambia tufanye safe sex na mimi nikamhakikishia sasa ndio maana yupo kwenye tempa kubwa sana

Basi lililobaki na kumuomba Mungu tu ili kusiwe na ujauzito maana mara nyingi huzisikiliza sala zetu, vinginevyo ujiandale kulea na kuwa Baba kwa kila hali.

ni kweli mkuu kwa sababu mdada wa watu aliniambia kabisa kuwa hataki kuwa na mimba na wala hataki kutoa mimba so akaniambia tufanye safe sex na mimi nikamhakikishia sasa ndio maana yupo kwenye tempa kubwa sana

hhahahahah lol haki ya Walakhi kuna raha dunia hii

Eti unamwekea simba mwenye njaa nyama nono ya pundamilia mdomoni
halafu unamwambia asitafune ..
hahahahah lol mnanipa raha..
 
Hii qoute ndo maneno yake yote?
Mbona sijaona hilo tishio hapo?
Ila mwana hawa watu wakisema sometimes huwa wanamanisha, kama vipi kimbia kajifiche kwa muda... Au jitahidi kujishusha na kumwomba msamaha. Siku nyingine usiende kulala kwa hawa watu mdogo wangu, tutakupoteza........

mkuu TANMO nadhani wewe hujui unachokiongea ungekuwa member wa kule mambo ya kikubwa na ukaona sample ya wale watotoo ninaowaweka kule sasa ndio kama huyu hapa ninayemuongelea ...ninauhakika hata akikuambia kuwa anaishi iraq-baghdad mwanamme yoyote jasiri hattosita kwenda
 
Hahahahahahahahaa kitandani siku hizi watu hawataki kilikuwa kinatumiwa mwaka 47 kuna miondoko mipya ambayo kitanda hakihitajiki kabisa LOL! wanacheza kwenye viwanja mbali mbali lakini si kitandani. Miye poa sana AD, namshukuru Muumba wetu kwa afya njema.

Vipi cricket na rugby utaenda mazoezini kesho? hahahahahahah au utaenda kucheza soka LOL!. Unafuatilia Tennis hapo kwa jirani zako? Miye kama hawamo wale akina Williams basi motisha hupungua sana lakini semi finals za wanaume kutakuwa na kivumbi na jasho.

mie sie mpenzi sana wa Tennis dear..
lakini nachunguliaga tu kwa vile wako hapo jirani..

summer love dear cricket ..

aahh jana niliangalia metch ya Australia na England
kidogo nilia Bubu wangu..
australia walitandikwa duuhh hmu sina ..
walikuwa hawana hata run 100 lakini wicket tayari zilikua 5 mkuu..
duuhh..

nway ile mech ya soccer tunaenda kuangalia wote hahahah lol
au umesahau kununua ticket lol
 
wakuu kama siku tatu hivi zimepita kuna mwanamke ambaye nilikuwa nawasiliana naye.Najuzi usiku akanialikwa kwake nikaenda usiku na tukapiga stori na nikalala kwake hadi asubuhi,kama mida ya yaa 12 asubuhi nikaamka nikaondoka zangu..mchana wote tukawa tunawasiliana vizuri tu.. na asubuhii ya siku ya pili yule mdada akanipigia simu asubuhi kama saa nne kwa sababu alikuwa anasafiri na flight yake ilikuwa ni saa sita akawa amekasirika ananitukana ,akaniambia kuwa niliacha condom ndani yake wakati tuna do,lakini mimi nakumbuka wakati tuna do nilijishtukia condom haipo nikadhani imepasuka ,sasa tishio ni kuwa kama akipata mimba atanitafutia watu waje kuniua na anadai alikuwa kwenye siku zake ...mpaka sasa hivi sijui bado nifanyeje.
na hii ndio meseji aliyinitumia kabla ya kunipigia simu na kutishia kuniua:
""Omg, man, I'm so angry with you!!! You left a condom inside me!!! What have you been thinking of??? And which one was it? I hope not the one you cumed with??? Cuz if it's the last one, you could get me pregnant!!! Why didn't you tell me it happened?!!!! It's was so ****ing selfish of you... Omg, I'm gonna cry now... You f***d me and left a condom inside me!!! F**!!! Man, it's sooooooo very bad!!!'""
na ni kweli iliyobaki ndani ndio hiyo ambayo mimi nilindani imepasuka

Unaniangusha kamanda,Ina maana una Gobole dogo kiasi cha kondom kuvuka bila wewe kujua?Mimi hata ikipasuka tu naishitukia hapohapo sasa wewe mpaka inavuka huna habari,una hatari wewe!!!
 
hhahahahah lol haki ya Walakhi kuna raha dunia hii

Eti unamwekea simba mwenye njaa nyama nono ya pundamilia mdomoni
halafu unamwambia asitafune ..
hahahahah lol mnanipa raha..
hahhahahahh !! hata ingekuwa wewe ungejibu hivi hivi tu kama mimi:)
 
Safe days zinaanza siku periods zinapoanza mpaka siku ya tisa wengine kumi kwa kaujuz kadogo ninachojua.so hakuna mimba kaka kaza buti tu! pole kwa matatizo
mimi sio mtaalamu sema yeye kadai kuwa alikuwa kwenye siku hatari hajaniambia direct kama yuko kwenye sku zake kwa sababu ingekuwa ivi tusingeweza ku do
 
Unaniangusha kamanda,Ina maana una Gobole dogo kiasi cha kondom kuvuka bila wewe kujua?Mimi hata ikipasuka tu naishitukia hapohapo sasa wewe mpaka inavuka huna habari,una hatari wewe!!!
sikuangushi kamanda wangu hizi condom demu mwenyewe ndiye alizinunua na zilikuwa ndogo kwangu so niliweza kuivaa nusu tu sasa kwenye mishemishe na speed ndio hapo condom ikatoka na wala sikuangushi mkuu
 
Back
Top Bottom