nisaidieni jamani...Kukatika nywele

Samawati

Member
Oct 6, 2010
90
71
Naomba kujua, mwanamke kupukutika nywele kunatokana na nini ? Nywele zinaniisha kichwani mwenzenu... nimejaribu mafuta ya aina zote yenye kuotoesha nywele - haisaidii! Madaktari nisaidieni kabla sijajiua maana mwanamke bila nywele ni sawa na mfalme bila taji.
 
Pole sana. Naamini nywele zinakatika kwa stress. labda nikuulize zinakatikia wapi? maana kama zinakatika at the tip (mwisho, juu) basi ni general care. itabidi uzikate alafu uache tena zianze kuota. hii husababishwa na maji, hewa (kavu or moist), dryer, relaxer, mafuta ya nywele na kadhalika. ila kama zinakatika chini kama vile fungus, basi inaweza kua either hiyo hiyo fungus, ao ni stress za maisha. Jaribu kukumbuka ni wakati gani zilianza kukatika na ulinganisha na kipindi cha maisha yako (kigumu, intense). inaweza kua kazi nyingi ao ngumu, matatizo ya mapenzi, ya kifamilia... ukisha pata, jaribu kupunguza influence ya hayo matatizo kichwani, utashangaa nywele zinarudi.
Cha mwisho ni umri pia. tukizidi kuzeeka, nywele hupoteza hability ya kuota baada ya kukatwa ao kukatika.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom