mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 811
- 393
- Thread starter
- #21
hutakiwi kujaribu bali kufanya kweli. inaumiza sana kuachwa ama kuchezewa na mwanaume pasi malengo sema ndo hivyo wadogo zangu hawa huwa hawaelewi kila ukisema ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Sawa kaka tuombe uzima