Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

Mtu unafanya mabazazi yako huko alaf unaomba ushauri??? Hakika huwezi kupata amani na uaminifu huko unakoenda. Muheshimu mkeo na uwe muaminifu kwake. Je utajiskiaje kufahamu mkeo naye anatembea nje ya ndoa yenu??
 
Pale hotelini afanyako si pako na vinyumba ndogo vingine?! Badilisha kengine labda,kakikuzingua piga chini chukua tena kengine! Nenda na principle hiyo had mwisho!
 
ngoja mkeo nae atafute nyumba ndogo yake ndio utatia akili, utaisahau hiyo nyambafu ndogo yako.
why why kwaninini?????????????
 
mijanaume mingine bwana.
Huyo ni nyumba ndogo yako, na wewe ni nyumba ndogo kwake.
Wewe ukimwacha unarudi kwa mkeo na yeye akikuacha anaenda kwa mpenzi wake watumie ulivyomuhonga.
wewe badala ya kuumia kwa sababu ya mkeo unaumia kwa sababu ya hawara?
Hovyo kbs!
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Aisay mimi umenifurahisa pale ulipo sema (pls note that I love my wife)
 
Kwani hadi kodi ya nyumba unalipia wewe mpaka utake kuingia ndani?
 
Mkuu,
Huyo nyumba ndogo yako ana "nyumba ndogo" nyingine ambaye ni kidume kinachomuhudumia kivingine.
Yawezekana ana laini zaidi ya moja hivyo akiwa na wewe ana laini yake na akiwa na nyumba ndogo yake aka "kidume" inabidi akuzimie simu wewe.
Yawezekana wewe ni wa atm na kuuzia sura, "outing" na huyo mwingine ana kazi maalumu pia amepangiwa na anaifanya.
N.B:
Ijali familia yako, mkeo na watoto huyo nyumba ndogo atakuletea ukimwi bure kwani hajatulia.

 
Mijitu mibazazi..laana tupu...utumbo! Huwezi kuwa mwanaume wewe mbele ya jamii..unasifia ujinga eti 'nyumba ndogo'...halafu bila aibu unasema 'unampenda mkeo'....ULAANIWE pumbavu
 
  • Thanks
Reactions: Sal
kweli wee sijui niseme ni kilaza au nikupe jina gani,kama ujui kusoma ata pictur huoni? hapa unataka tukushauri nini sasa, na wakati kila kitu kinajinyesha,wee kama umempenda endelea naye ila usifikirie kwamba upo peko yako,, upo brooo mpaka apo,:rip:
 
Ridhìka na hali hiyo ili mradi uroda anakupa. Hata mara moja ukiwa na hawara usiamini kuwa unamfaidi peke yako. Kama bado unampenda usimchunguze sana. Utagundua makubwa umkose bure!
 
Inaelekea kakutengenezea line yako peke yako so ni kawaida kutopatikana.
 
mpuuzi kabisa wewe,ulisoma zile rules za nyumba ndogo za the bosi? mtafute bishanga anayaelewa zaidi mambo haya. usinzi ni dhambi mkuu
 
ushauri wa nini,wewe unatafuta aids then familia ibaki yatima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom