Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

Wewe si mwanaume chochote kuleta mambo ya kitandani hadharani. Kama humtoshelezi tafuta wengine wamtosheleze. Maana unaongea kama huna akili badala ya angalau hata kuanza kujaribu kwa madaktari kuona ana tatizo gani. Kwani tangu umuoe kwanini hali haikuwa hivyo kama siyo kutofikiri sawa sawa. Hayo ni mambo ya chumbani ambayo sisi wazazi wenu hatupaswi kuambiwa. Suppose umemwanga mtama hivi akatokea njemba anayekujua akaenda na kujipendekeza kwake na kumuachia ukimwi?
 
Hapo kuna mambo mawili muhim chief.
1. Huenda ulipokuwa Dom, kuna shujaa mmoja alikusaidia na hivyo kukuzid uwezo ndo mana wife anajitahid kukulazimisha upige mzigo mara nying akidhan huenda utamfikia shujaa huyo lakin wap, umeshindwa.
2.Huenda uwezo wako umepungua bila wee kujua, ukidhan wa mwenzako umeongezeka.
 
Jaman umalaya mbaya jana nimekamata binti mzuri nikaenda nae geto aisee nilichokiona nimeogopa duu Binti ana kisimi kirefu kama uume nimeogopa jamani.Nikaanza kujuta kwa nin hata nimethubutu kumsaliti mpenzi wangu.Samahani mpz wangu nahisi maombi yako ndo yamenikutanisha na maajabu haya.

mwongo sna wewe
Jaman umalaya mbaya jana nimekamata binti mzuri nikaenda nae geto aisee nilichokiona nimeogopa duu Binti ana kisimi kirefu kama uume nimeogopa jamani.Nikaanza kujuta kwa nin hata nimethubutu kumsaliti mpenzi wangu.Samahani mpz wangu nahisi maombi yako ndo yamenikutanisha na maajabu haya
 
Ndugu ushauri gani unaotaka? Mpeleke kwa mchungaji ana mapepo huyo. Wakati ulipokuwa dodoma kuna jamaa alikuwa anakula mzigo na kesha muachia mimba. Ujue anazuga umle kila siku ili hiyo mimba akusingizie wewe.

Na pengine kijana KIGONGO CHAKO NI KAMA CHA FARASI yaani kinamkuna ipasavyo. Cha farasi kwa mbele kiko kama vile vokombe vidogo vya kahawa ndio maana ukimsugua mpaka masikio yake yanawasha.

Ningekuwa mimi nisingeshuka masaa 10 mpaka huko chini kwake kuwake moto ndio hapo heshima itakuwepo.
 
Kama ni mie ningemtafutia MKUYATI kiboko ya mambo, mwenyewe angeniomba nimpumzishe.....................LOL
 
kula hii kitu kamanda nakwambia utasimamia kama baiskel na hata taka hata kurudia raundi nyingine .

white2w72.JPG
september_2011.jpg
shiva1w10.jpg
 
mleta mada. Mke wako ni mjamzito tayari. Ila akijifungua tu, breki ya kwanza iwe pale TBS kucheck DNA. Naomba utunze ushauri huu ambao nakupa bure kabisa.
 
we ni mwanaume kaka hutakiwi kuwa goigoi,piga kitu,jenga tabia ya kufanya mazoezi,kula vizuri then ingia mzigoni.Kimsingi ni haki yake hakuja kulala na kula hapo kwako,kwao pia chakula kipo na kitanda kikubwa kipo,so kazi ni kwako.
 
Naomba kujua jina la hii mmea

he ale Cannabis!!? Ndo atakuwa chizi kabisa, kesho ataweka na picha zao hapa. Jeneneke hiyo mmea ndo naitwaga bange,jani,kijiti,ganja,dawa,cha arusha, herb,wee, sigara kubwa etc
 
Back
Top Bottom