Nisaidieni huu ni aina gani ya ubabe?

Kuna rafiki yangu wa karibu sana, mke wake hv majuz aliamua kumwachia mtoto wa miez 8 na kusafiri kuja Dar kwa madai ya kuja kumwona mamdogo wake, lakin hakufika hata kwa mamdogo badala yake alienda kwa mwanaume kulala nae usiku kucha jamaa alipompigia sim usiku alipokea mdume, hebu msaada wenu wana jf.

Mwambie atafute mtaalamu.Siku akienda kwa huyo mwanamume ngoma igome kutoka kama ilivyotokea huko Kusini mwa tanzania
 
wanasema kuwa mtu mwema hapa duniani kwa kila uunaekutana nae
baadhi ya matukio yanayotukuta ni malipo ya yale tuiyoyafanya huko nyuma...
 
Ni rafiki yangu wa karibu sana anaita kaka, niliona nikimpa ushauri nitamwachisha ndoa yake.
 
Kuna rafiki yangu wa karibu sana, mke wake hv majuz aliamua kumwachia mtoto wa miez 8 na kusafiri kuja Dar kwa madai ya kuja kumwona mamdogo wake, lakin hakufika hata kwa mamdogo badala yake alienda kwa mwanaume kulala nae usiku kucha jamaa alipompigia sim usiku alipokea mdume, hebu msaada wenu wana jf.

heee hapo neema ya Mungu yahitajika maana kwa akili za kibinadamu unaeza uue mtu au kumuacha kabisa...but huyo mwanamke hana akili hata kidogo khaaaa....na huyo mwanamume kwanini akubali mkewe kuondoka na kuacha mtoto mi ningempakia mtoto hata kwenye bag....hopeless
 
teh,teh,teh,.MR.PAUL.kwanza pole zake.Hapo kuna kuombana msamaha hata kama ni kwaresma?Naic hakuna haja hata ya ushauri.Ni sawa na mtu aliye ua kwa makusudi.Akae na mtoto wake huyo ni shetan,baladhuri mkubwa.Labda kama mwanamke ndo alitoa mahali kwao na mwanamme waombane msamaha yaishe
 
cha msingi jamaa atafute njia ya kumlea huyo mtoto tu basi huyo mwanamke hamna cha msamaha abaki huko huko alikokwenda kuliwa kiboga na huyo mtoto hata kaa amwone tena.
hata kama simu asingepokea mwanaume kitendo cha kuondoka tena na shanga bila ruhusa huo ulikuwa ni uhaini kwenye siasa tunanyonga
 
Kuna rafiki yangu wa karibu sana, mke wake hv majuz aliamua kumwachia mtoto wa miez 8 na kusafiri kuja Dar kwa madai ya kuja kumwona mamdogo wake, lakin hakufika hata kwa mamdogo badala yake alienda kwa mwanaume kulala nae usiku kucha jamaa alipompigia sim usiku alipokea mdume, hebu msaada wenu wana jf.

hapo sidhani kama kuna msaada wa kuomba.. tumia wazo lolote lilokujia kichwani mara 2 baada ya kuzipokea hizo habari.

Hakuna kitu kibaya maishani kama kuudhalilisha uanaume wako!!
 
Mbaya zaidi mkuu, mtoto alisumbua sana usiku ule alilia sna utadhani alijua mama ake anachokifanya kwa wakati ule. Hii ni laana sijawahi ona.

pole mkuu inaonekana ni wewe ndo uliyekutwa na huu mkasa...................................
ndio utu uzima huo kaka....................huyo sio mke......................
 
Kuna rafiki yangu wa karibu sana, mke wake hv majuz aliamua kumwachia mtoto wa miez 8 na kusafiri kuja Dar kwa madai ya kuja kumwona mamdogo wake, lakin hakufika hata kwa mamdogo badala yake alienda kwa mwanaume kulala nae usiku kucha jamaa alipompigia sim usiku alipokea mdume, hebu msaada wenu wana jf.

naua tu hapo ...... namwambia aisrudi tena aolewe huko huko
 
alafu hebu nenda kapime DNA ya huyo mtoto inawezekana sio wake aisee...
 
pole mkuu inaonekana ni wewe ndo uliyekutwa na huu mkasa...................................
ndio utu uzima huo kaka....................huyo sio mke......................

da hapo tumemsoma vizuri kumbe ni yeye mwenyewe mto mada ndo muhusika...aisee pole sana mkuu
 
Habari ndio hiyo,haki sawa,loh embu tuambie sifa za rafiki yako usikute na yeye anamfanyia hvyo kwa hiyo dada anamfundisha m2 akifanyiwa hvyo ana jisikiaje?
 
mwambie avumilie
upendo hushinda yoote.

Huyo dada alikuwa kwenye basi akapitiwa usingizi, jirani yake akaona ampokelee simu.
 
mwambie avumilie
upendo hushinda yoote.

Huyo dada alikuwa kwenye basi akapitiwa usingizi, jirani yake akaona ampokelee simu.

kongosho hujambo.....................?
hata kama ataweza kumshawishi jamaa aamini unachosema..........................................!vipi kuhusu alivyokatwa kwenda halafu akaenda kijeuri...........................................???
la kuvunda halina ubani.....................!
 
Kweli hawa wanawake ni rafiki zetu sio ndugu zetu, inauma sana, akili zao haziko sawa, ndo hata vitabu vitakatifu vimetuasa wanaume kukaa nao kwa akili hawako sawa kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom