Nisaidieni: 5mil Kuanzia biashara

Fungua sehemu ya massage tuwe tunakuja kupata huduma za migongo migongo.
 
sijakosea hata kidogo,kuku nimepata faida so kwenye m5 nikataka kuanzisha biashala nyingine,mashat,tshirt etc
Masharts ndo chakula gani? Kama unauza na laptops kumbe ulikosea kuandika milioni 5 badala ya 50 labda?
 
aha ahahha,si watafanya walichokubaliana? G alikuwa anataka kuku lakini binti ana biashara nyingi,nawe xpin kama unataka sema

Mi angekuwa amefungua saluni ya kunyoa nywele aina zote ningekuwa mteja wake wa kudumu!
 
Very good! Kama umeweza kufanya biashara ya kuku wa kienyeji na kujikuta una ''savings'' za 5m basi hiyo si haba! Hata hao akina Bakhresa walianza hivyo hivyo. Kwa sasa, ningekushauri ufikirie jinsi ya kuboresha zaidi hiyo biashara yako badala ya ''ku-diversify''. The devil you know is better than an angel you don't know!

Labda kama umegundua kwamba soko la kuku wa kienyeji haliwezi kukua zaidi hapo lilipo hivyo umeamua kuwekeza kwenye fursa zingine za biashara basi utuambie, kisha tuanzie hapo.

Very good advise, kama soko limepungua kama unavyosema well unaweza ukaangalia biashara nyingine that's not bad idea.

Pearl uko dsm au mikoani? Niko interested na kuku wa kienyeji. Nipe price range.
 
Back
Top Bottom