peleka madagaa dubei!Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana
peleka madagaa dubei!
peleka madagaa dubei!
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana
acha niwasiliane na wakala wangu kisha utapata full infomesheni neksti wiki.kwa milion 5?wapi?nipe full info plz,am real serious
hivi unazani siko serious? basi acha nitampiemu kisha atakupeni fidibeki.sorry, wakati mwingine jaribu kuwa serious kidogo.
sorry, wakati mwingine jaribu kuwa serious kidogo.
najua haiusiani lkn ningeweka sehem nyingine usingesoma kiharaka kiivi
eniwei usikonde, leo nilikuwa na furaha sana (sababu kapuni) na afta tudei hamtoniona fooo looooooong taimu. huenda mkazania nimefariki.sorry, wakati mwingine jaribu kuwa serious kidogo.
Jinsia yako kwanza tafadhali. Maana najua kuna biashara za wanaume na wanawake!
kwa faida ya wengu kwa kweli.....pearl wengi tunaka/tumejaribu kujasiria mali tukakutana na vikwazo kwa hiyo ushauri utakaotolewa hapa utakusaidia si wewe tu hata watu kama mimi (very serious)
eniwei usikonde, leo nilikuwa na furaha sana (sababu kapuni) na afta tudei hamtoniona fooo looooooong taimu. huenda mkazania nimefariki.
sheeeeeeeeeeeeeee