Nisaidien mbinu nzuri nataka kuacha mke

baada ya kuzaa nae ndio unagundua mambo mengine lol, huoni hata huruma
 
Hebu tueleze kwanza kama tayari umeshampata mwingine ambae ameona mnaendana kwa kila idara. ili kama bado ndo tukushauri vizuri ili kuepusha tena ajali. ajali kama hizi hazikubaliki kwenye jamaa labda kwa sababu maalumu. ila sababu zako bado hazina uzito sana. mkuu kumbuka mke ni kama unavyoingia hotelini.....wewe unaagiza wali rost...mwenzako wa meza ya pembeni anaagiza ugali samaki....akili yako ghafla nayo inatamani na kukushawishi bora na mim ningeagiza ugali samaki....mwisho wa yote nao anasema aah bora wali rost. kuwa makini na maamuzi yako mkuu..wanawake wote ni sawa....vuta mkeka keti nae zungumza nae..mwambie yale mambo ambayo wewe ungependa afanye, vaa yake na tabia yake then atabadilika tuu kwa vile anakupenda atajisikia faraja sana na lazima atazingatia.
 
jamani ndoaaa! Mhh wengine tunalia tutazipata wapi wengine wanazichezea, nimeamini wanaojua maana ya ndoa hawazipati ila wasiojua
 
Signature ya King'amuzi (comment #4) inakufaa sana. Inasema hivi:

usipoteze muda Kuwasha moto juu ya Maji!
 
yani ilikua ajari mbaya sana nikajikuta nimeoa mke,ambaye muda mfupi bdae nikagundua hanifai,nakiri nilikurupuka,simmaind *ila yy hajui na sitaki agundue mapema,ananipenda ila me no! so nataka njia ambayo haina mafarakano ya muda mrefu na nikimuacha nisipate lawama mazee watu wote wakubali.*ila kumbuka sbb ya kutaka kumiacha sio tamaa,moyo wangu hauna tabia hazendani,sijisikii kuwa nampenda nk.
mwambie humpendi tena hafai kuwa mkeo na unataka kuwa alone
 
Ukiona vyema fanya hivi


Umeongea ukweli mtupu mkuu, asikurupuke kumuacha then ajeajilaumu na kutaka kumrudia tena, wakati wake utakuwa umepita.

Kwa kuwa ilikuwa ajali kumuoa, unataka umuache kisa ulikurupuka, hutaki wazee wakasirike, unataka mkeo akusahau baada ya mda mfupi then kill urself, itakuwa ajali pia na utatengana na mkeo bila tabu na utasahaulika after 3 days na mjeo atakaa eda 40 days then atakusahau. Do it and nobody will blame u otherwise unatakiwa uendelee kukaa na mkeo, ulikurupuka au kukurupushwa its up to u...usimwaribie mwenzio lyf...usimpotezee mwenzio muda....na usimtie mwenzio doa la kuachwa...km ulikurupuka kumuoa angalia usikurupuke kumuacha afu bdae ukakurupuka kutaka kumrudia ukakuta umechelewa. IF ITS SWEET OR BITTER U MUST SWALLOW IT CUZ U CHOSE IT.
[/QUOTE]
 
kwa kweli umenisikitisha sana lakini ndiyo ishatokea na nina hakiaka hata kwa ushauri gani utakaopewa lazima utimize adhima yako lakini ebu fikiria mara mbili mbili unaloenda kulifanya
 
kweli huyo mkeo amepata ajali tena kubwa loh? kweli kuna mashwetani duniani loh?
 
Tuliza akili. Mpende mkeo maana naye anakupenda. usifikirie kama kuna mwanamke mwingine zaidi yake; jione yeye tu ndiye zawadi uliyopewa na Mungu katika dunia hii. Inaonekana kuna unayefikiri utampenda na atakufaa zaidi, usijidanganye. Thamini ulichonacho, tulia na mkeo uliyenaye.
 
Ndugu yangu yahoo; umeshasema kuwa huyo mke wako anakupenda kwanini umuache? Kumbuka kuwa upendo ni gharama, waone wataalam wa mambo ya ndoa kama kina Dismas Lyassa, Dr. Isaac Ndodi n.k wakushauri jinsi ya kumpenda mkeo lakini ckumuacha utakuja kujuta baadae. Sina uhakika kama uko-serious "Please please mpende mkeo"
 
Kama kweli anakupenda, usifikirie kumwacha.Fikiria namna ya kuboresha mapenzi. Hakuna aliyemkamilifu kwa sifa unazotaka.

Paboreshe hapo maisha yatasonga na utakuwa na furaha daima. Peke yako hutafanikiwa ktk hil, ila kwa i imani utaweza.
 
Kama unaweza waite wale walokupa mke mkutane mahali palepale ulikulia kumchukua huyo mke, muwe mmeva nguo zile zile, idadi ya watu walewale, saa ileile, siku, mweza na mwaka uleule halafu mmtamkie kwamba siko tayari kuwa nawe tena hapo ninauhakika atakubali bila shaka
 
Hebu niwafafanulie vzuri huyu mke nilichguliwa nilipokwenda kutembelea kjjn kwetu, nilishawishiwa na wkubwa zangu,nikajikuta nimeoa but sikushikiwa bastola ningeweza kumkataa ningependa,ila nilifoswa lazima nirudi na mke kutoka hapo

Nimeshusha pumzi kwanza. Mmh pole! Mlifunga ndoa? Kama mlifunga ndoa inabidi ufuate process zote ila sasa sijui unaanzanzaje manake huna sababu, maybe urudi kijijini ukawaambie kwamba humpendi mke waliyekutafutia lakini kwanini umuache wakati hata hajakukosea chochote? Nakuonea huruma maana unaishi na mtu usiyempenda, yeye pia namuonea huruma kwasababu anaishi na mtu asiyempenda
 
huyo utakayeoa pia baada ya muda utasema ajali! hilo limekuganda bro! cha msingi tafuta dawa ya matatizo yake na siyo kumwacha utawaacha wangapi! wototo wenye ndo hawa wa dot.com
 
Kabla ya kukupa ushauri labda ningepata ufafanuzi wa swali lifuatalo: Ulimpata katika mazingira yapi? na umekaa nae kwa muda gani mpaka sasa?
Ukijibu hayo maswali nami nitakupa ushauri nini cha kufanya kuhusu huyo mrembo wako.
 
Pole sana ndugu yangu. Mimi naomba niwashangae wanaJF wanaomlazimisha huyu ndugu bila kumpatia mbinu kama alivyowasilisha hoja yake.

Binafsi nakushauri umsome ujue nini asichokifanya mkeo ama mkiwa kitandani, sebuleni, barabarani, jikoni na kwingineko. Baada ya kubaini moja au mbili, then mpeleke mbali na makazi yenu, mfano hotelini, au sehemu ya faragha na nzuri - kama uwezo unao, halafu mwoneshe mapenzi ya dhati, mwambie mifano mingi - kwa ufasaha ukilenga uzuri wa kile kibaya anachofanya usim-feel.

Fanya kama zoezi la siku 1,2 ...., kwa mazingira tofauti hata nyumbani. Kama usafi, jaribu kufanya nawe (usione haya, hayo ni mapenzi), then yeye mwenyewe ataanza kufananisha kila ufanyacho na yale mazungumzo yenu, atachange taratibu. Usiwe na haraka wala hasira. Mpe ushirikiano, hakikisha usiache swali bila jibu sahihi...
 
Wewe katika umri huu unafosiwa kuoa? by the way uamuzi upo rohoni mwako na huyo unayeenda kumwoa hata jipya zaidi ya huyo unayemwacha.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom