onyamnyothoche
Member
- Sep 23, 2016
- 55
- 53
Asante sana kiongozihebu nenda kanunue septrin nusu dozi uzisage kisha uchanganyie kwenye mafuta ya mgando,
kisha ujipake eneo la tukio, asubuhi ukishakoga..
ulete mrejesho.
nilisoma humu humu Jf ila sikumbuki jina la uzi.
Mvulanaww ni jinsia gani???
Asante sana mkuuPolen sana mkuu....
ok sawaMvulana