Nisaidie ukiweza

cashmoney

Member
Dec 14, 2011
89
31
Habari GT,
Nina uhitaji wa kiasi cha Tsh laki tano...naomba kwa yoyote muaminifu, mwenye uelewa na mwenye uwezo wa kunikopesha ama kuniazima anisaidie nitamrejeshea baada ya mwezi mmoja.

Nitumie private message ama nipigie kupitia 0657101214
 
It's your lucky day! I happen to be related to a Nigerian prince, and get this - he was just asking me about giving away 1000 dollars exactly today! Just need your bank accounts details. For security's sake, you can just email him your account number so he can wire it to you. Is that cool? (im kidding).


Just find a way to get 1000 people to give you 500Tsh each (SELL SOMETHING). OR use your social capital. Good luck.
 
Habari GT,
Nina uhitaji wa kiasi cha Tsh laki tano...naomba kwa yoyote muaminifu, mwenye uelewa na mwenye uwezo wa kunikopesha ama kuniazima anisaidie nitamrejeshea baada ya mwezi mmoja.

Nitumie private message ama nipigie kupitia 0657101214
HUJAELEWEKA HIVI UNATAKA ANYEKUKOPESHA AWE MWAMINIFU , na sio wewe kuwa mwaminifu ,hivi unaishi karne gani wewe
 
Yaani nikutumie PM au nikupigie ili nikukopesha na hata hujasema kama hiyo hela utarudisha kwa interest, sidhani kama dunia ya sasa inawasamaria wa hivi. Ungesema unataka kukopa laki 5 na utalipa kwa riba ingekuwa rahisi zaidi kwa sababu kuna watu wana vimicrofinance vyao and they are looking for customers like you.
 
Kama unaweza kunikopesha ama kuniazima kwa riba ni sawa (ila isiwe kubwa) au ukinisaidia bila riba nitashukuru zaidi. Kwenye makubaliano, mikataba ama makabidhiano ya biashara uaminifu unahitajika pande zote sio tu anayepokea bali hata anayetoa. Nilitaka waliotayari kunisaidia wanitumie private message au kunipigia simu kwa kuwa sikutaka kuendeleza thread ya msaada kama huu kwa wengine. Nakubali kusahihishwa pale nitakapokosea.
 
jielezee kwanini ukopeshwe ??? nahiyo pesa unaitaka kufanyia shughuli gani , na itakupa faida gani

hizi ni procedure za kipesa unapotaka pesa popote lazima uzujibu

LABDA KUNA MTU ANAWEZA KUKUSAIDIA , WASWAHILI WASEMA UKIFICHA U... HUZAI
 
mi niko tayari kukukopesha hiyo hela lakini kwa mashariti yafuatayo 1. lazima uje na wadhamini wenye kipato watatu 2. utarejesha hiyo hela pamoja na riba 10%
 
Back
Top Bottom