Nisaidie nikusaidie,natoa ili nipate

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
518
448
kuna mtu ametafuta kazi kwa muda mrefu sana hajapata mvumilivu umemshinda ,yupo tayari kutoa pesa ili apate kazi kwa mtu ambaye atamsaidia kwa hilo hata kumconnect na mtu ambaye anaweza kumsaidia,ana bachelor ya accounting .anategemewa na familia yake msaada jamani

ambaye yupo tayari ani PM.
 
Ni jinsia gani maana kama mwaname atatusumbua sana taja jinsia yake ili tumsaidie, alafu amemaliza chuo gani na mwaka gani na amefauluy kiasi gani
 
kuna mtu ametafuta kazi kwa muda mrefu sana hajapata mvumilivu umemshinda ,yupo tayari kutoa pesa ili apate kazi kwa mtu ambaye atamsaidia kwa hilo hata kumconnect na mtu ambaye anaweza kumsaidia,ana bachelor ya accounting .anategemewa na familia yake msaada jamani

ambaye yupo tayari ani PM.

hizo pesa ni bora utoe sadaka kwa wasiojiweza na Mungu atakupa kazi.
 
ongeza juhudi katika sala na pia usikate tamaa,utapata 2 job ila patakawia aya ndio matunda ya miaka 50 ya uhuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom