Nisaidie maoni/ushauri/mawazo

Pole sana.. ndo maisha..wakati mwingine mtu unajawa na huruma ya kutaka kusaidia kwa moyo wote, lakini watu wanaleta michezo ya kitoto tu..
Usikate tamaa..endelea kuwapa ushauri

Yaani we acha tu mpaka mtu unakosa imani na thread unaona kama za kutunga zote
 
Nimetoka kusema asubuhi watu waache kucheza na akili za watu wanaleta thread za uongo tunapoteza muda bure wewe kilichonipata ni PM za kutukanwa na kuambiwa niache umbea kama sura yangu ha ha ha ha nikacheka na kupotezea

dah!pole sana,,,watu hawako siriaz bana hata hapa wacha nisepe,twenzetu kibera
 
Yaani we acha tu mpaka mtu unakosa imani na thread unaona kama za kutunga zote
DA kauka uta2umbua wengu humu,wengne 2napenda kuuza maneno jf mana nikisema sura ntakua muongo make avatar zote ni uchakachuzi m2pu.
 
Mpuuze huyo wa zamani.

Kwa yeye kuwalazimisha ndugu zake sasa wakupende ndio nini?
Unadhani kweli wamegeuka ghafla na kukupenda?
Halafu tayari ulishamwacha na kupata mwingine usigeuke nyuma utakuwa jiwe!
 
aje tu kivingine, inawezekana kweli ana matatizo.. mleta thread, nafikiri inabidi uandike upya na uje uapologize hapa kwa wanajamvi..

Sidhani kama atakuja na akija atakuja na mashushu navyowajua hawa vi under 18 shida tupu
 
Shikamana unakopendwa my dear.....achana na wanaume wa msimu...wasioweza kukabiliana na changamoto,wanaokimbia changamoto....huyo mwanaume ameweza kukaa mwaka bila wewe,na ukawa na mwanaume mwingine......usiumize moyo wa huyu uliyeko nae.....inashangaza pia inakuwaje mwanaume mliyekuwa mmeachana akapeleka posa kwenu?wewe naye mlikuwa bado mnajuana na mnawasiliana,hizo guts umempa wewe....Mungu akusamehe kama ulikuwa una cheat.........kuwa na msimamo,haya maisha ukiwa mtu wa kuyumba utateseka sana!!
 
Mkubwa unadiscuss jina langu au unanisaidia mawazo???? Please :focus:

tatizo cyo kudiscuss jina inshu ni kwamba jina lako lishatoa jibu kua uolewe na wote! ..... kwanza kwani thread hii inakuhuu kwan ww mamuu55 f** u
 
Hii kitu imenifanya nimetukanwa leo tukisema tunaambiwa tuache umbea bora umesema wewe leo maana ningesema mimi PM za matusi kibao zingejaa kwenye inbox yangu

DA naomba un2mie ma2c ulo2miwa ili mimi niyafoward kw huyu U18 aliye2potezea muda.fasta plz coz kwnye kamusi yangu y matusi yameisha nimeya2mia sana asubuh kuku2mia ww.
 
mamuu, mbona watuchanganya; mara hakuna mawasiliano mara yalikuwa ni kusalimiana tu?? anaway, mawasiliano ni mawasiliano tu! yawezekana hata kale kamchezo kalikwepo hasa pale unapopatwa na*****za ghafla! wanasema "UKISHIKWA SHIKAMANA"

Mawasiliano yalikuwepo ya kusalimiana tu lakini nimeshangaa katuma watu home
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom