Nisaidie maoni/ushauri/mawazo

Mamuu55

Member
Mar 12, 2011
44
0
Nilikuwa na BF wangu tukapenda sana mpaka tukakubaliana kuona kwenda kwa wazazi wake wakanikataa eti kabila tofauti aoe kabila yake baada ya kuambiwa hivyo mie mapenzi yakapungua kabisa, na yeye aliona akawa hataki kunielewa nikawa nakata mawasiliano kabisa na yeye wala sikumuhitaji tena. Nimepata BF mwingine last year tumependana na tumekubaliana kuoa mwezi wa tisa sasa huyu jamaa kasikia kuwa nataka kuolewa kawaconvince wazazi wake wanikubali kafanikiwa naye kapeleka barua kwetu jana nimechanganyikiwa na maswali yafuatayo:

1. Nifanyeje
2. Kwanini kama kweli ananipenda hakufanya hivyo toka mwanzo kuwaconvince wazazi wake?
3. Mapenzi yangu yako kwa huyu wa sasa maana niko nae karibu mwaka sasa na sitaki kumuumiza

Asante kwa ushauri wenu
 
usikimbilie ndoa dada,penda roho yako inapopenda.na penda unapopendwa. kama unampenda huyu wa sasa,endelea na kuwa wa huyu wa sasa.ndoa ni loooooong commitment,na ina mambo mengi tu.chagua pale roho yako inapenda.at the end uamuzi ni wako.
 
Ndoa ni pingu ya milele
kuwa makini na maamuzi yako huna mawasiliano nae alitoka wapi kupeleka barua bila kukushirikisha
wasiliana nae umweleze ukweli kwamba una BF unampenda na mapenzi kwake yamekwisha
toka enzi zile za mwalimu
 
Fuata roho yako, ndoa haitaki mambo ya huruma halafu badae uanze kujuta
 
khe!ajabu nyingine!out of no where kapeleka barua?siyo mlikuwa mnawasiliana bado?je alishindwa nini kuwakomvis wazazi wake mwanzo?kuwa na msimamo songa mbele:car:
 
Ukisikia Pwaaah, ujue imekukosa, achananaye huyo na hao ndugu zake, nini ulicho badilika sasahivi? kabila halibadiliki, na ndio dis-qualification yako kwao. Mshukuru Mungu achana nao
 
love this,,,,
 
mhh! kama sijaelewa mambo fulani fulani; yaani ulipoelezwa tu UKAPUNGUZA MAPENZI, wajuaje kama alikuwa anajaribu kuona ni kiasi gani uko serious naye?? nyekundu: aliendelea kukufata lakini ukawa unakata mawasiliano, kimsingi ulikuwa hujampenda huyu bwana: kwanini usimweleze ukweli kuwa toka mwanzo ulikuwa umpendi??? lazima uchanganyikiwe kwa kuwa ulimlaghai huyu bwana..! kimsingi wewe ndo humfai..bora uende kwa huyo wa sasa! kama amepeleka posa, c uwaambie tu wazazi waikatae nawe uwasingizie! unachanganyikiwa kitu ghani??? kimsingi huwezi panda farasi wawili! amua, chukua hatua! alafu nahisi kama ni mimi vile!

Nilikuwa na BF wangu tukapenda sana mpaka tukakubaliana kuona kwenda kwa wazazi wake wakanikataa eti kabila tofauti aoe kabila yake baada ya kuambiwa hivyo mie mapenzi yakapungua kabisa, na yeye aliona akawa hataki kunielewa nikawa nakata mawasiliano kabisa na yeye wala sikumuhitaji tena. Nimepata BF mwingine last year tumependana na tumekubaliana kuoa mwezi wa tisa sasa huyu jamaa kasikia kuwa nataka kuolewa kawaconvince wazazi wake wanikubali kafanikiwa naye kapeleka barua kwetu jana nimechanganyikiwa na maswali yafuatayo:

1. Nifanyeje
2. Kwanini kama kweli ananipenda hakufanya hivyo toka mwanzo kuwaconvince wazazi wake?
3. Mapenzi yangu yako kwa huyu wa sasa maana niko nae karibu mwaka sasa na sitaki kumuumiza

Asante kwa ushauri wenu
 
Swali: lipi bora kwenda unakopendwa zaidi au unakopenda zaidi hata kama upendwi kihivo??????

usikimbilie ndoa dada,penda roho yako inapopenda.na penda unapopendwa. kama unampenda huyu wa sasa,endelea na kuwa wa huyu wa sasa.ndoa ni loooooong commitment,na ina mambo mengi tu.chagua pale roho yako inapenda.at the end uamuzi ni wako.
 
mhh! kama sijaelewa mambo fulani fulani; yaani ulipoelezwa tu UKAPUNGUZA MAPENZI, wajuaje kama alikuwa anajaribu kuona ni kiasi gani uko serious naye?? nyekundu: aliendelea kukufata lakini ukawa unakata mawasiliano, kimsingi ulikuwa hujampenda huyu bwana: kwanini usimweleze ukweli kuwa toka mwanzo ulikuwa umpendi??? lazima uchanganyikiwe kwa kuwa ulimlaghai huyu bwana..! kimsingi wewe ndo humfai..bora uende kwa huyo wa sasa! kama amepeleka posa, c uwaambie tu wazazi waikatae nawe uwasingizie! unachanganyikiwa kitu ghani??? kimsingi huwezi panda farasi wawili! amua, chukua hatua! alafu nahisi kama ni mimi vile!

Mjanga bana unahisi ni wewe???? Umenichekesha kweli
 
Swali: lipi bora kwenda unakopendwa zaidi au unakopenda zaidi hata kama upendwi kihivo??????
mpendane wote,ila raha zaidi yeye akupende zaidi.akipenda zaidi hatosikiliza ya watu,yeye ma love love kwa kwenda mbele
 
Unajua una mambo ya ajabu sana unaulza kwa nini hakufanya hvo mwanzo wakat wewe ndo ulikata mawasiliano mwanzo ulitaka afanye nini uamuz unao cz unajua unaempenda
 
Anawaconvince uolewe naye kwani we kidumu cha mbege kwa waislamu kha! Hawakukutaka huko nyuma ndo leo wanakutaka! Kama unakubalika kwa huyu wa sasa songa mbele. Barua kaipokea nani na kwa ruksa ya nani? Kwani wewe hukuwaeleza wazazi wako kilichotokea kuwa ulikataliwa. Yeye aendelee kuwaconvince ikifika mwezi wa 9 tunaimba anameremeta tu kwa kwenda mbele!
 
Unaweza ukaolewa na wote coz jina lako hilo linaruhusu .....unajua maana y jina lako lkn?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom