nisaidie kujua jinsi ya kujiunga na Chuo cha IT ume na sifa zipi kama umemaliza form four

yusuph2012

New Member
Jun 21, 2012
1
0
jamnii samahanini naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo cha IT uwe na sifa zipi nimemaliza form four mwaka jana samahanini viongozi tujuzane
 
unataka chuo kipi na umepataje matokeo yako ya o'level ili 2jue uanzie ngazi ya cheti au diploma?
 
jamnii samahanini naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo cha IT uwe na sifa zipi nimemaliza form four mwaka jana samahanini viongozi tujuzane

masikini mko kama 3000 na cjui mtafanya kazi wapi kilala kheri jaribu IFM, DIT, CBE ,UCC etc!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom