La Cosa Mia
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 271
- 127
Nategemea kujifunza linux hivi karibuni,kufanya installation na kujifunza command line...mwenye uzoefu naomba anielekeze yafuatayo:
Shukrani...
- Ni distribution gani na version gani rahisi kuanza nayo hasa kujifunzia command line na rahisi katika installation...
- Natumia Sony VAIO,RAM 3GB yenye windows 7;nataka kuinstall linux bila kuondoa windows 7 ila SONY VAIO zinaletaga matatizo unapodilisha original os uliyonunulia...je kupandishia linux haitasumbua au nifanye ujanja upi...
- Any tutorial references rahisi kufuatilia...
- lolote ambalo unadhani ni muhimu kufahamu ....
Shukrani...