Nisaidie kuhusu hili li Huawei E1550 modem

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Wakuu nimenunua hii modem ya huawei e1550 ya Zain/airtel na nimeweka line ya airtel.
Lakini kila nikijaribu ku connect inaniambia "The SIM/USIM card not been detected or invalid" wakati inaniambia hivyo card iko ndani. Nimeweka na card ya simu yangu ninayotumia bado napata same message. Je nifanyeje? Najua hapa kuna wenye vichwa vikali na nitasaidiwa haraka.
 
Piga customer service . watu wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo ukishindwa rudi utasaidiwa
.
 
Piga customer service . watu wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo ukishindwa rudi utasaidiwa
.
Hawajibu wajinga hawa. Mi nadhani inatakiwa niifanyie configuration fulani. Lakini sielewi namna ya kufanya au vipi?
 
jaribu ku uninstall prog na ui install upya
Bado napata jibu lile lile na nimejaribu kubofya connect imenipa message hii " You can't connect before register an available network" je hii ndio nafanyaje?
 
Bado napata jibu lile lile na nimejaribu kubofya connect imenipa message hii " You can't connect before register an available network" je hii ndio nafanyaje?

1.Walipokupa pale dukani waliitest kwanza??
2.kwenye computer yako umeinstall modem nyingine ukiacha hiyo ya aiertel? (sometimes ile ya Zantel na Aitel huwa zinasumbua zikiwa ziko installed kwny computer moja)
3.nenda kwenye options,network selection, chagua manual search uone kama unaweza detect network nyingine)
4. Umeinunua bei gani? maana zile original ni 60K, japo kuna vijana walizichachua nyingine na wakawa wanaziuza kwa 90K, possible umeuziwa mojawapo ya hiyo....hizo zimechakachuliwa na kuna posibility ya kukosea wakati wa kuchakachua itakayopelekea modem kuwa unused
 
Nimeachana nayo. Nimemrudishia mwenyewe maana aliinunua lakini alikuwa haitumii. Natafuta ya zantel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom