Nisaidaeni ushauri wa kisheria na kimaadili wana Jamii forums

Wewe Usijali wala usipanic endeleeni na mapenzi yenu ushapata mke mwema.watu tunatafuta ati,mamamkwe sio issue sana kwanza inaelekea huyo mama alikuwa hajasettle coz mlifakana yeye akiwa ni mkubwa zaidi yako.
 
siku zote mtu anatakiwa ashauriwe ili kutatua tatizo lililopo mbele yake kuliko kumlaumu maana maji yamesha mwagika na nimeamua kuwa wazi kulileta tatizo langu humu jamvini ili kupata mawazo ya watu. maana kadiri siku zinavyokwenda binti ndo anazidi kuchanganykiwa. najitahidi kumsihi asimwambie mtu yoyote kwa sasa. nipe ushauri wa kunijenga kuliko kuzidi kunichanganya....

Yani wewe umeshajichanganya bigtime halafu unasema sisi tunakuchanganya?kivipi?

Fanya hivi, si una kifua eeh?nenda kwa mama mkwe/x-girlfriend wako mwambie ukweli kuwa binti yake/gf wa sasa ni mjamzito hivyo unataka kumuoa.
Nadhani ukifanya hilo, utapata jibu mapema maana vyovyote vile hapa JF lazima kutulaumu yani umemega mama yake mzazi halafu sasahivi binti yake wa kumzaa huyo mama na:mimba:juu...kweli,wewe ni mtu wa ajabu sana!!how do you feel and sleep kwa hali hii..

Unasema maji yamemwagika, kwani hukujua hili kabla maji hayajamwagika???...
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 33,nilikuwa na mpenzi wangu alienizidi miaka miwili na ana mtoto wa kike wa miaka 19 sasa. Mapenzi yetu yalidumu kwa miaka 6 lakini kutokana na migongano ilokuwa ikitokea mara kwa mara hatukuweza kutambulishana kwa wazazi wetu hadi 2010 tulipoamua kuachana rasmi nami nikamruhusu aolewe kama ataamua kufanya hivyo.

Hivi ninavyoongea tayari ameshaolewa na anakaa huko kwa mume wake. Kila mtu hana kinyongo na mwenzake. Tatizo ni kuwa nimejikuta nimeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na yule binti yake ambaye wakati nipo na mama yake alikuwa ananiita UNCLE.

Nimekuwa nae kwa muda wa miezi 7 lakini kinachonitisha ni kwamba ana ujauzito ambao kwa mazingira naona ni kweli unaweza kuwa wakwangu. Kwa sasa mama yake bado hajajua maana ni mimba changa sana.

Je,mama yake akijua kuwa mhusika ni mimi, reaction yake itakuwaje? What will be my position before the eyes of the law?

Nampenda sana huyu binti na sitaki atoe mimba yangu.
Nishaurini tafadhari waungwana.
Kweli unahitaji mwanasheriai umetenda kosa la jinai linalojulikana kama incest, jitayarishe na mvua za kutosha.
 
Uliruhusu ugomvi hadi kuachana na mama sababu ulimtamani mtoto wake, hapo huna la kukataa. Umekula kuku na mayai, hilo kimaadili halipo. Uwe mwangalifu na mahusiano hayo sababu hutakuwa na baraka za jamii, na kama zitakuwepo basi zitakuwa za kulazimishwa sana. Ndoa yenu kuwa na amani ya kweli inabidi msali sana maana hapo shetani hatawaacha hivihivi. Angalia mnaweza mpoteza mama mkwe/mpenzi wako wa zamani kwa pressure.
My take, tafuta watu wenye busara na wanaoelewana na mama mkwe wako wakamwambie ukweli. Hapo huna jinsi.
Dah, inamaana mkuu ulimvumilia dogo akikua toka akiwa na miaka 13? Ila ulitake advantage of her childhood na ignorance yake kwa mapenzi, na yeye akashindwa kukataa sababu ni uncle, I'm out.
 
ni kweli maji yamemwagika kama ulivyosema

Ushauri wa kimaadili, ni kwamba umemkosea mama wa mtoto, binti wake, na zaidi Mungu mwenyewe. Ni jambo ambalo kwa binadamu aliyestaarabika si jambo zuri hata kidogo..
Lakini tamaa zako kwa huyo 'uncle' wako, ndio zilikufanya uvunje 'mahusiano' na mama yake. Na inawezekana alikutimua kwa sababu alishagundua unamfanyia mambo ya aibu.

Cha msingi, tafuta nyumba za ibada, kama ni mkristo, tafadhali nenda kajisalimishe kwa wachungaji na watu wengine wa kiroho ili uombe toba, mwenyezi Mungu akusamehe..

sijui mambo ya kisheria, ila inajulikana kwamba mtu akikaa na mwanamke zaidi ya miezi 6, serikali inawatambua kama ni mke na mume. Na yule binti kwa hiyo anahesabika kama ni mwanafamilia wako. kwa hiyo ni kama incest, sasa sijui sheria za nchi zinasemaje kuhusiana na hukumu yake..

Pole sana..
 
Uliruhusu ugomvi hadi kuachana na mama sababu ulimtamani mtoto wake, hapo huna la kukataa. Umekula kuku na mayai, hilo kimaadili halipo. Uwe mwangalifu na mahusiano hayo sababu hutakuwa na baraka za jamii, na kama zitakuwepo basi zitakuwa za kulazimishwa sana. Ndoa yenu kuwa na amani ya kweli inabidi msali sana maana hapo shetani hatawaacha hivihivi. Angalia mnaweza mpoteza mama mkwe/mpenzi wako wa zamani kwa pressure.
My take, tafuta watu wenye busara na wanaoelewana na mama mkwe wako wakamwambie ukweli. Hapo huna jinsi.
Dah, inamaana mkuu ulimvumilia dogo akikua toka akiwa na miaka 13? Ila ulitake advantage of her childhood na ignorance yake kwa mapenzi, na yeye akashindwa kukataa sababu ni uncle, I'm out.
nashukuru kwa ushauri wako,nakubali kuwa na mimi ninayo portion ya kuwa blemed. pia ugomvi wangu na mama yake haukuwa unamhusu yeye hata kidogo. Pia,binti huyu mpaka naachana na mama yake sikuwa na wazo lolote la mapenzi na yeye. Nimekuwa nikimsupport kwa hali na mali toka akiwa primary hadi kamaliza F4. wala sijatake advantage ya udogo wake. ila ninachoomba,je endapo nikapata watu wazima nje ya wazazi wangu,maana kama nilivyoeleza mwanzo,hatukuwahi kutambulishana,japo walijua mahusiano (naogopa kupata aibu nyingine),wakaenda kumwomba akakubali kunisamehe nia yangu ni kumwoa kabisa binti na kuenda nae kuishi mbali na mkoa huu ili kuavoid interractions na mama yake. Hio imekaaje......?
 
Kweli unahitaji mwanasheriai umetenda kosa la jinai linalojulikana kama incest, jitayarishe na mvua za kutosha.
how incest wakati mama yake sikufunga nae ndoa na wala sikuwahi kukaa nae officially nyumba moja kama mke na mume? yeye alikuwa na kwake namimi na kwangu, ilikuwa ni mahusiano ambayo yeye aliweza kuja kwangu for one or two days and vice versa. nielimishe mkuu.......!
 
nashukuru kwa ushauri wako,nakubali kuwa na mimi ninayo portion ya kuwa blemed. pia ugomvi wangu na mama yake haukuwa unamhusu yeye hata kidogo. Pia,binti huyu mpaka naachana na mama yake sikuwa na wazo lolote la mapenzi na yeye. Nimekuwa nikimsupport kwa hali na mali toka akiwa primary hadi kamaliza F4. wala sijatake advantage ya udogo wake. ila ninachoomba,je endapo nikapata watu wazima nje ya wazazi wangu,maana kama nilivyoeleza mwanzo,hatukuwahi kutambulishana,japo walijua mahusiano (naogopa kupata aibu nyingine),wakaenda kumwomba akakubali kunisamehe nia yangu ni kumwoa kabisa binti na kuenda nae kuishi mbali na mkoa huu ili kuavoid interractions na mama yake. Hio imekaaje......?
Embu acha ujinga...yani uliyofanya hayatoshi unataka mpelekane kanisani/msikitini kabisa?!Kwa mawazo kama hayo naona kama utakua mgonjwa...unachotaka kufanya sio sawa kabisa!Sema kweli...omba msamaha...achana nae...lea mtoto na uendelee na maisha yako wakati mama na mwana wanatafuta namna ya kumaliza tofauti zao!!

Alafu acha kujifanya eti hujatake advantage kwa huyo binti maana ndicho haswa ulichofanya!Yeye anaweza kujitetea kwamba ni utoto tu ulikua unamsumbua na alikua hajui ni kwa kiasi gani sio sahihi kua na mahusiano na mwanaume ambae amewahi kulala na mama yake ila wewe ni MTU MZIMA HIVYO haswa!!Yani miaka 30 ukadhubutu kufanya ulichofanya bila kuona ubaya wake?!Nwy hakikisha huendelezi madudu yako usije ukatengeneza chuki kati ya mama na mwanae!!

Kila la kheri!
 
nashukuru kwa ushauri wako,nakubali kuwa na mimi ninayo portion ya kuwa blemed. pia ugomvi wangu na mama yake haukuwa unamhusu yeye hata kidogo. Pia,binti huyu mpaka naachana na mama yake sikuwa na wazo lolote la mapenzi na yeye. Nimekuwa nikimsupport kwa hali na mali toka akiwa primary hadi kamaliza F4. wala sijatake advantage ya udogo wake. ila ninachoomba,je endapo nikapata watu wazima nje ya wazazi wangu,maana kama nilivyoeleza mwanzo,hatukuwahi kutambulishana,japo walijua mahusiano (naogopa kupata aibu nyingine),wakaenda kumwomba akakubali kunisamehe nia yangu ni kumwoa kabisa binti na kuenda nae kuishi mbali na mkoa huu ili kuavoid interractions na mama yake. Hio imekaaje......?

Huyo binti kamaliza form six? Maana naona kama unaongeza kosa kwa kukatiza ndoto zake za elimu, maana ingekuwa kama siyo ujauzito, issue ilikuwa rahisi sana, sasa huo ujauzito. N uwe mwangalifu maana kama mama mliachana kwa bifu anaweza sema ulianza naye wakati yupo shule, so ubakaji ulianza akiwa under 18. Japo kisheria unaweza chomoka lakini usumbufu utakuwa umepata.
Usifanye ukatili wa kukimbia mbali na mkoa wako kwa kutafuta amani yako binafsi, huo ni uchoyo mwingine. Na unauhakika gani ukiwa huko mtasahau ya kwenu? Dunia yenyewe kijiji, mtu anaweza kuwa marekani akakuondolea amani na furaha tz. Think twice juu ya maamuzi yako.
 
how incest wakati mama yake sikufunga nae ndoa na wala sikuwahi kukaa nae officially nyumba moja kama mke na mume? yeye alikuwa na kwake namimi na kwangu, ilikuwa ni mahusiano ambayo yeye aliweza kuja kwangu for one or two days and vice versa. nielimishe mkuu.......!

Akiwa anakuja kwako alikua anaishia kuangalia tv na kuondoka ehhh?!
Sikiliza unachoambiwa acha ubishi usio na maana....yani we unaona ni sawa kumjua mama na mwanae kimwili?!
Muone kwanza....‘!
 
Kosa ni kosa kakangu,kitendo ushaa kitende ambalo ni kosa na kwanza kabisa nakupongeza kwa utu wako wakutotaka kumtoa uhai mtoto ambaye atajitokeza hivi karibuni.Wakati huu kwako mwenzangu ni wakati wastahili kuonyesha utu,ujasiri,uanaume,na upole,kweli wewe ni binadamu kama mimi na wale wengine wanao kupa ushauri,sote tuna dosari mbalimbali ni viletu sijakueleza yangu.Kwako nina neno moja tu, Kama umempenda bindi huyo skiza pia msimamo wake ingawaje kumuowa itabidi muelewane na mzazi mamake na tayari alikuwa mpenzi wako,....ama muingize huyu dem box asemesijui na umweleze kwamba mamako pia nishampenda wakati mmoja na hata yeye atahisi vile unavyo hisi hivyo itakuwa aibu kumweleza mtu yeyote kwake
 
Aaaiii weewe
sasa wakati unamvua huyo mtoto nguo ulikuwa humuwazii ex-demu wako/mama yake?
 
asante kaka kwa ushauri wako. maana hapa nilipo sijielewi kichwa kimepiga short ukizingatia baadhi ya waungwana wanalaumu zaidi kuliko kushauri. wakati maji yameshamwgika.....

Dahhh kweli umechanganyikiwa
mpaka waniita kaka embu karekebishe kwanza..

sasa sikia binafsi siku saport kwa
kilichotokea lakini kwa kipande kingine nashukuru hayoko under 18..kilicho nisikitisha ni pale huyu angekuwa binti yako kama mambo yange enda sawa na mamake..

nway nakushauri sana tafuta wazee
wakusaidie na hil.
 
how incest wakati mama yake sikufunga nae ndoa na wala sikuwahi kukaa nae officially nyumba moja kama mke na mume? yeye alikuwa na kwake namimi na kwangu, ilikuwa ni mahusiano ambayo yeye aliweza kuja kwangu for one or two days and vice versa. nielimishe mkuu.......!

Wewe ni step father and she is your stepdaughter. Concept ya uncle haipo kabisa in that situation.
 
Dahhh kweli umechanganyikiwa
mpaka waniita kaka embu karekebishe kwanza..

sasa sikia binafsi siku saport kwa
kilichotokea lakini kwa kipande kingine nashukuru hayoko under 18..kilicho nisikitisha ni pale huyu angekuwa binti yako kama mambo yange enda sawa na mamake..

nway nakushauri sana tafuta wazee
wakusaidie na hil.
nashukuru ndugu,nafanyia kazi ushauri wako.
 
Wewe ni step father and she is your stepdaughter. Concept ya uncle haipo kabisa in that situation.
asante kwa kunijuza,kumbe soo lipo. mimi nilidhani kuwa ningehesabika kuwa step father endapo yule mama ya huyu binti angekuwa ni mke wangu either wa ndoa or by even by mutul/implied consert yetu kwa kuishi nae nyumba moja continuously. kumbe hata kutembea nae tu inahesabika ni step father... sheria ngumu kwelikweli. usichoke kuni update mkuu wangu ili nijapange sawasawa...
 
Dahhh kweli umechanganyikiwa
mpaka waniita kaka embu karekebishe kwanza..

sasa sikia binafsi siku saport kwa
kilichotokea lakini kwa kipande kingine nashukuru hayoko under 18..kilicho nisikitisha ni pale huyu angekuwa binti yako kama mambo yange enda sawa na mamake..

nway nakushauri sana tafuta wazee
wakusaidie na hil.
samahani kwa kukuita kaka,kumbe ni dada AFRODENZI..!
 
Back
Top Bottom