Nisaedieni sms za ccm zinanikera.....zain ni wadau wa ccm?

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
386
Mwenzenu Bado Nakerwa na SMS za CCM ZISIZO NA 'Sender' Number. Nimejaribu Kuwapigia Zain wakasema ati Ni Mimi Mwenyewe nimejiunga.....Upuuzi Mtupu
Wakati hata siku moja sijawahi Kujiunga..
Cha ajabu nilishawahi kutuma sms ya 'HAPANA' kwenda 15016 kama Mwana JF mmoja alivyoshauri lakini Bado tu Nikiamka asubuhi lazima nikute sms ya CCM
Nisaidieni maana naweza kuivunja simu kwa Hasira
 
mimi kila zinapoingia napadwa hasira mpaka jasho linanitoka. Please kama kuna msaada naomba kusaidiwa
 
zain watakuwa wana ubia na CCM si bure...naona wamewapa mchongo na takukuru pia....sms kila kukicha...aggrrrrr
 
jamani hakuna anaejua jinsi ya kuzizuia hizi sms za CCM kwenye line za zain hata mimi zina ni kera sana
 
Naona Wana CCM katika JF Wamekaa Kimya Malaria Sugu Hebu tusaidie Kujibu Hili
 
Mwenzenu Bado Nakerwa na SMS za CCM ZISIZO NA 'Sender' Number. Nimejaribu Kuwapigia Zain wakasema ati Ni Mimi Mwenyewe nimejiunga.....Upuuzi Mtupu
Wakati hata siku moja sijawahi Kujiunga..
Cha ajabu nilishawahi kutuma sms ya 'HAPANA' kwenda 15016 kama Mwana JF mmoja alivyoshauri lakini Bado tu Nikiamka asubuhi lazima nikute sms ya CCM
Nisaidieni maana naweza kuivunja simu kwa Hasira

My God, My Lord. Usiwe na hasira kiasi hicho ndugu zangu, najua ni jinsi gani mnapata shida na sms za CCM, hata mimi yalinikuta hayo hayo. Niliwapigia cm huduma kwa wateja tulishindwa kufikia muafaka ikanibidi niende ktk ofisi yao nako waliniambia nilijiunga.jambo ambalo si kweli. Ukweli hawa jamaa ni makada wa ccm. Tangu nilipo wafuata sijapokea tena sms ya kipuuzi. Na dhani kutokana na mimi kuwa mkali.
 
Niko voda kila nikituma sms ya ondoa inagoma na sms zinazidi kuja kwangu
 
My God, My Lord. Usiwe na hasira kiasi hicho ndugu zangu, najua ni jinsi gani mnapata shida na sms za CCM, hata mimi yalinikuta hayo hayo. Niliwapigia cm huduma kwa wateja tulishindwa kufikia muafaka ikanibidi niende ktk ofisi yao nako waliniambia nilijiunga.jambo ambalo si kweli. Ukweli hawa jamaa ni makada wa ccm. Tangu nilipo wafuata sijapokea tena sms ya kipuuzi. Na dhani kutokana na mimi kuwa mkali.
Mona sisi hatukelwi na sms za chadema tena mbaya zaidi zimeingia mpaka kwenye dini. Mtu mzima unadiriki kubadili sala na kuweka mambo ya kishenzi mtenda akitendewa!!!!!!!!!:doh:
 
Ivi number zenu wanazipata wapi? Ina maana haya ndo matokea ya ile registration tuliyofanya? Mbona tunaibiwa?
 
Mona sisi hatukelwi na sms za chadema tena mbaya zaidi zimeingia mpaka kwenye dini. Mtu mzima unadiriki kubadili sala na kuweka mambo ya kishenzi mtenda akitendewa!!!!!!!!!:doh:
zitakuwa zinatoka kwa watu unao wajua na unaweza kuwaambia wasikutumie.....lakini hizi za mafisa zinaonyesha zina toka ccm na huwezi ku-reply mbaya zaidi hata kujitoa sijui....
 
Mimi nilifikiri mimi kama mteja wa huduma ya simu niko entitled kupata ile huduma niliyoilipia i.e. kupiga simu/pigiwa simu au kusms na kusmsiwa na wale watu wanaonihusu tu .........tena ambao nimewapatia namba yangu kwa ridhaa yangu haya ya sijui Chama sijui nini yanatoka wapi jamani? Halafu mchana huzipati zinaingia tu usiku wengine masimu yetu yana masauti basi usingizi unakatika mnabore..... Ndio ninyi Zain MNABORE.
 
Back
Top Bottom