nisadieni na hili

habari zenu..jamani mimi tangu nianze kufanya mapenzi nimekua sifiki katika orgasm kama wana wake wengine wanavofika..na pia ni mara chache sana kupata hamu ya kufanya mapenzi...ila nikicheki porn hamu yaja haswa za ma lesbian..na mie sitaki hamu za porn nataka natural hamu nafanyaje?inafkia kipindi namwambia boy wangu kua nimeridhika kumbe wala hata sijackia lolote..na si kwamba haniandai hapana..ananiandaa sana tuu ila ndo hivyo naeza pata hamu alafu tukianza tuu hamu yaisha..nami nampenda boy wangu je nafanyaje?????

Nitafute NIKUFIKISHE.
 
Hi am jayson from ngorongoro nacho weza kukueleza ni hiki nikweli boyfrend wako anakuanda ila mimi kama jayskills ni mtaalamu wa saikolojia hasa za mambo yakijamii kinachokufanya upate adha hiyo ni hiki unapokua katika tendo unakuwa unafikiria mambo mengi ambayo hayahusiani na tendo ulilonalo kwa wakati huo ukiweza kuwasiliana nami naweza kukushauri jambo ambalo litakusaidia and then u will enjoy your sex interval namba yangu ni 0762370751,0685499476 au jayabu1983@yahoo.com
huna lolote unataka kumlamba tu
 
mh mara nyingi hua twatumia the most common,and the second common sio sana..ujue tunapoanza tuu nasikia kitu but kadri tunavyo endelea steam zakata kabisa
 
Kwanza vp mazingira mnayokutania, ni comfortable kwa maana ya kwamba hamna haraka wala hofu ya aina yoyote? mnarelax?

Pili ni atitude yako ww mwenyewe kuelekea tukio, unajiachia vya kutosha na kufeel pleasure as it comes? au unawaza tu ogazm ogazm ogazm, bila kujua unaintarapt mautam mengine yanayoweza kukufikisha huko kwenye the all-important OG?
Jiachie mtoto... enjoy the moment... buy time... usikumbuke fadhaha ya kutofika wiki jana... assume kila kitu kp ok, lazimisha hisia zako ziwe positive kama ufanyavyo unaposelfservice na kujifikisha mwenyewe, kinyume cha sheria... mara utashangaa tu hizooooo zinapiga hodi....

Tatu ni mikao sahihi kwa nyakati sahihi... na hili ni muhimu pia, huu ndo mwarobaini wa kutroubleshoot Ogazm zinazokatisha ruti, lakini ni lazima uuchanganye na ingredient moja muhimu sana ili uweze kupata results haraka; USIKAE KIMYA WALA USIONE AIBU KUMWONYESHA HOTSPOTS ZAKO NA UNAPENDA ZIFANYWEJE.

Female ogazm si mchezo mchezo tu, ni lazima kila kitu kiwe right. kama we mwenyewe unaweza, why not ukiwa na msaidizi banaaaa.... mi c o mtaalam,
so maumivu yakizidi.............................

asante nimekuelewa pia hua twakutana mazingira mazuri tuu..na pia nadhani ni kwa sababu nimejiwekea kichwani kua sitakuja fika ogazm
 
Jayson wa Ngorongoro, kwanza karibu jamvini. Pili kwa mwaliko wako wa easter mimi na mwenza wangu tunaomba tuje kukutembelea wakati wa pasaka ili utushauri zaidi juu ya mahusiano yetu (tutapendelea kama mwenyeji wetu utatuweka serena hotel,ili kurahisisha practicals,lol).
Naomba nikufahamishe, hapa JF huwa tunashirikishana ujuzi. Kwa vile client ni anonymous, mwaga tiba humu halafu tutapona wengi, kuna Mwali hapo juu nna hakika hayajui mambo haya. Just in case anakutana nayo, itamsaidia pa kuanzia.
Haya, nimeweka tent kabisaa...
Hi am jayson from ngorongoro nacho weza kukueleza ni hiki nikweli boyfrend wako anakuanda ila mimi kama jayskills ni mtaalamu wa saikolojia hasa za mambo yakijamii kinachokufanya upate adha hiyo ni hiki unapokua katika tendo unakuwa unafikiria mambo mengi ambayo hayahusiani na tendo ulilonalo kwa wakati huo ukiweza kuwasiliana nami naweza kukushauri jambo ambalo litakusaidia and then u will enjoy your sex interval namba yangu ni 0762370751,0685499476 au jayabu1983@yahoo.com
 
Back
Top Bottom