nisadieni na hili

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
habari zenu..jamani mimi tangu nianze kufanya mapenzi nimekua sifiki katika orgasm kama wana wake wengine wanavofika..na pia ni mara chache sana kupata hamu ya kufanya mapenzi...ila nikicheki porn hamu yaja haswa za ma lesbian..na mie sitaki hamu za porn nataka natural hamu nafanyaje?inafkia kipindi namwambia boy wangu kua nimeridhika kumbe wala hata sijackia lolote..na si kwamba haniandai hapana..ananiandaa sana tuu ila ndo hivyo naeza pata hamu alafu tukianza tuu hamu yaisha..nami nampenda boy wangu je nafanyaje?????
 
Old vampire... Nipo curious na haya

  1. Umewahi fanya na mmoja tu?
  2. Ulofanya nao wachukua mda gani kumaliza?
  3. Hua unaandaliwa? As in mwaanza tu ama mwaamshana hamu?
  4. Umewahi fika safari? hata kama ni kwa kujifikisha?

Sio kwamba ni mtaalam saana, ila naamini yaweza toa mwanga wa tatizo lako...
 
Uko tayari huu uzi uhamishiwe kule "uani"? Maana nimeandika zaidi ya mara tatu ushauri lakini nikaishia kufuta. Hamna namna ya kukushauri 'kitoto' (twende kwenye jukwaa la wakubwa).
 
1.hapana na my 1st ex pamoja na huyu
2.mh mda mrefuu sana kwa yule wa kwnz..but huyu kama hatuja onana mda mref hua akawia kumaliza.other wise hakai sna
3.ananiandaa sana tuu
4.kwa kujifkisha nimewah sana tuu..na mara nyngi hua mpaka azame chumvini ndo nafika safari
 
Kuna senario tatu katika kufanya mapenzi...
  1. Kuna kufanyana (most common)..
  2. Kuna mwanaume kumfanya mwanamke (second common)
  3. Kuna mwanamke kumfanya mwanaume (least common)

Ulishawahi kurajibu zote hizi? Matokeo yake yalikuwa sawa?
 
Kwanza vp mazingira mnayokutania, ni comfortable kwa maana ya kwamba hamna haraka wala hofu ya aina yoyote? mnarelax?

Pili ni atitude yako ww mwenyewe kuelekea tukio, unajiachia vya kutosha na kufeel pleasure as it comes? au unawaza tu ogazm ogazm ogazm, bila kujua unaintarapt mautam mengine yanayoweza kukufikisha huko kwenye the all-important OG?
Jiachie mtoto... enjoy the moment... buy time... usikumbuke fadhaha ya kutofika wiki jana... assume kila kitu kp ok, lazimisha hisia zako ziwe positive kama ufanyavyo unaposelfservice na kujifikisha mwenyewe, kinyume cha sheria... mara utashangaa tu hizooooo zinapiga hodi....

Tatu ni mikao sahihi kwa nyakati sahihi... na hili ni muhimu pia, huu ndo mwarobaini wa kutroubleshoot Ogazm zinazokatisha ruti, lakini ni lazima uuchanganye na ingredient moja muhimu sana ili uweze kupata results haraka; USIKAE KIMYA WALA USIONE AIBU KUMWONYESHA HOTSPOTS ZAKO NA UNAPENDA ZIFANYWEJE.

Female ogazm si mchezo mchezo tu, ni lazima kila kitu kiwe right. kama we mwenyewe unaweza, why not ukiwa na msaidizi banaaaa.... mi c o mtaalam,
so maumivu yakizidi.............................
 
Unasumbuliwa na mkato wa tamaa ndo maana hufiki,asipozama chumvini unahisi hutufanya mapenzi,jizoeze mapenzi ya aina zote na uwe na imani kuwa kufika kileleni inawezekana kwa stail zozote anazokufanyia mpenzi wako.
1.hapana na my 1st ex pamoja na huyu
2.mh mda mrefuu sana kwa yule wa kwnz..but huyu kama hatuja onana mda mref hua akawia kumaliza.other wise hakai sna
3.ananiandaa sana tuu
4.kwa kujifkisha nimewah sana tuu..na mara nyngi hua mpaka azame chumvini ndo nafika safari
 
Mybe hutoi ushrkiano wa kutosha thts y ur boy hakufiksh juu!

Nakuhusu suala la hamu my be u dnt lov ur boy 4certain resons thts y hupat ham!!

*@teacher
 
Umesema unapata hamu ukicheki porn tena hasa za ma-lesbian!!! Mchezo wa kucheki porn uliuanza lini?! Pamoja na mengine, nina wasiwasi na hapo!
 
Hi am jayson from ngorongoro nacho weza kukueleza ni hiki nikweli boyfrend wako anakuanda ila mimi kama jayskills ni mtaalamu wa saikolojia hasa za mambo yakijamii kinachokufanya upate adha hiyo ni hiki unapokua katika tendo unakuwa unafikiria mambo mengi ambayo hayahusiani na tendo ulilonalo kwa wakati huo ukiweza kuwasiliana nami naweza kukushauri jambo ambalo litakusaidia and then u will enjoy your sex interval namba yangu ni 0762370751,0685499476 au jayabu1983@yahoo.com
 
Pole sana mpenz, nakushauri ukamuone mtaalamu mueleze ukweli utasaidiwa, mi nilikuwa na rafiki yangu alikuwa na tatizo kama lako na wkt mwingine wakiwa wanafanya mapenz ye anakuwa asikii raha yeyote na alivyokuja kupima wakamwambia ni tatizo la hormoni
 
Mengi yamekwisha zungumzwa sitaki kuyarudia ila niseme machache kuhusu Orgasm, kwanza weka mawazo yako kwenye kile mnachokifanya lakini la pili suala la orgasm kama huyo mchumba wako hajua sehemu nyeti zikuwapi itakuwa ngumu kidogo, orgasm its not about in and out for 1 hour its about know how. Suala la orgasm mabinti wengi wanalisoma kwenye magazeti tu ama atakueleza jambo ambalo yeye anadhania ndio kumbe sio.Anyway nisiseme sana nipishe michango mingine.
 
Back
Top Bottom