Nipokeeni wanajf mliopo Arusha.

Karibu sana Arusha mkuu. Young Master at your service. If you need anything you know where to find me.
 
Ngoja nitakuwa makini na hizo alama ulizonipa. Atakuwa anasinzia au amelala. Ana mpango wowote wa kugombea umiss Ar au aliwahi kushinda?

Anagombea na kwa vigezo vyake alivyo navyo tegemea ushindi wa kishindo mpaka kuwa miss tanzania na miss world

Mr Rocky nilikuwa busy sana leo
Vipi ushampokea mgeni?


Mgeni kanitoroka kaenda kwa babe s bana
 
hahahahaha..uji wa shanga umenikumbusha nikijaga huko lazima nifuate palee...kwa yule mama..hahahaha@Preta..mkuu Mr Rocky nawe unapigaga uji wa shanga...?
 
Last edited by a moderator:
Huo uji inaonekana ni mimi tu ndio nitafanya tukio la ajabu kukaa Ar bila kuunywa! Nishtueni unapatikana wapi?
 
Huo uji inaonekana ni mimi tu ndio nitafanya tukio la ajabu kukaa Ar bila kuunywa! Nishtueni unapatikana wapi?

Ulizia mitaa ya shule ya sekondari bondeni mkuu
Mitaa hiyo ndiko kunauzwa uji wa shanga na vitumbua vitamu balaa
Na kuku wa rangi aise watamu balaa
 
au aende mtaa wa pangani pale maeneo ya shule ya Meru....au majengo ya town....

Yeah hiyo hiyo mitaa aise
Preta nimekuona na gauni lako la zambarau umetokaje chicha
Angalia Simplicity asikuchukue jumla aise
 
jamani nimesubiri stand more than 18 hours sijamuona mgeni
Basi niPM nikuelekeze napatikana AR sehemu gani.
 
Mr Rocky, Wasiliana na hawa jf members walioko Arusha na wengine ili ikiwezekana (natumaini itawezekana) tuonane baadaye mida ya jioni. Naondoka hapa kwa muda kwenda sehemu. Arusha karibu watu waniponze (hasa jf members, allah, hahahaaa) hata nisiende kufanya lililonileta.

1) Preta
2)Fillipo
3) Mzee wa Rula
4)Pakajimmy
5)Lilyflower
6)Black Woman
7)Crashwise
8)LiverpoolFC
9)Igwe
10)Loner
11) LiverpoolFC,
12) babe S
13) Erickb52
etc, etc

Pls najaribu kutaja majina ya wale ambao najua wapo Ar, add and invite more members
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom