Nipokeeni wanajamvi

Tupo pamoja Maria ila kati ya hao sijaelewa wewe ni yupi?

Mwaka mpya mwema na wenye mafanikio hakika kumbuka kuwa kumaliza mwaka ni kazi kubwa hivyo tujipange kuanza mwaka 2011 kwa upendo na amani
 
Amen Zipuwawa kwa uwezo wa Muumba bas tutafika salama ubarikiwe sna
Mie nilikuwa mpiga picha mwaya
 
Maria umeamua kunianika hivi sawa bana basi walau hata kuficha plate number umeshindwa? Yaani wazi wazi peupeee

Yaani ingekuwa Tanzania kuna ile database ya kujua hizo plate number duh sijui ingekuwaje?
 
Usijali swetie mie na ww hawawezi kujua kama wewe ni huyo bonge au kimbau haha hahaaaa ila ulikuwa chicha siku ile unakumbukaaaa:whoo::whoo::whoo:
 
Give me a chance Maria naenda kukununulia zawadi ya New year sasa hivi narudi:car::car::A S-heart-2:
 
MR kwa hizo plate namba nina shawishika walikuwa wanacheza makhirikhiri
 
Back
Top Bottom