Nipo Ubungo stendi narudi kijijini hali ya mgao wa umeme wa Ngeleja imenishinda!

Usisahau kuwa mafuta ya taa yamepanda bei........so maisha ya koroboi nayo yapo hatiani..................
 
kwahyo huko unapoenda umeme upo?
Najua kuwa umeme huko hauko na sifuati umeme! Kinachonikera hapa mjini ni kuziona tranzifoma na nyaya ilihali umeme siuoni! Hivyo bora nika tumie vijinga na vibatari tu kijijini!
 
Najua kuwa umeme huko hauko na sifuati umeme! Kinachonikera hapa mjini ni kuziona tranzifoma na nyaya ilihali umeme siuoni! Hivyo bora nika tumie vijinga na vibatari tu kijijini!
sawa kaka. Nipo stand ukipita nipungie mikono.
 
Huyu jamaa alikuja mijini kuwapigia Kura CCM huku mjini baada ya kupewa tishirt na kofia imekula kwake..Hiv nauli unayo?au tukuchangie
 
Huyu jamaa alikuja mijini kuwapigia Kura CCM huku mjini baada ya kupewa tishirt na kofia imekula kwake..Hiv nauli unayo?au tukuchangie
Mimi ni mmoja wa watu ambao hawapendwi na ccm kiasi kwamba leo magamba wakisikia nimerest in peace wataandaa sherehe pale Lumumba! Nimmoja ya watu waliokwamisha kwangu zote uchakachuaji wa kura ulioratibiwa pale K/nyama!
 
Aheri nirudi kijijini vava segito de yani nikiendelea kuwepo hapa mjini mwishowe nitaozea segerea bureeeee kisa Ngeleja na genge lake la ccm fu****k Tanesco!!Makampuni yangu yanazidi kufilisika na wafanyakazi hawaelewi somo, hali ni mbaya vandugu!!
Rais wako yuko nje kaenda kuhemea.....halafu alisha wahi kusema hata wafukuza mjini sijui alikuwana maana gani lakini nilivyo mwelewa nikwamba mtarudi wenyewe vijijini...pole sana mkuu
 
Nimeshapita iringa mjini naitafuta mafinga!Msichoke nitawahabarisha mwanzo mwisho mpaka naingia kijijini hata siku nikiamua kurudi mjini nitawajuza tu!
 
Aheri nirudi kijijini vava segito de yani nikiendelea kuwepo hapa mjini mwishowe nitaozea segerea bureeeee kisa Ngeleja na genge lake la ccm fu****k Tanesco!!Makampuni yangu yanazidi kufilisika na wafanyakazi hawaelewi somo, hali ni mbaya vandugu!!
sasa unakimbia wafanyakazi wako? Si watagawana? Duh!
 
Back
Top Bottom