Nipo tofauti na wengi

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Wengi husherehekea birth date zao kila zinapofika. Huwa hawajali kuwa wameupunguza mwaka wao mzima wa maisha yao huku pengine hakuna hata moja alilolifanya la maana la kujisifia hata yeye mwenyewe mbali ya kumsifia sisi.... Na kwanini tusiseme tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuufikia mwaka mwengine? Now birth date yangu imekaribia ila nahisi sipaswi kuifurahikia bali wa kuifurahikia ni wengine kama tu lipo la kufurahikia uzao wangu. Sijuwi nipo sawa au sijitendei haki???
 
life is too short kuanza kujicompletia mambo,furahi na sherehekea kama unajisikia kufanya hivyo.HAPPY BIRTHDAY!
 
Hivi birth day zipo kumbe! na huwa watu wanasheherekea! Mi naungana na mtoa mada against that kabisa! Sijawahi kufanya birth day party, watoto wangu hawajui hii kitu (sio utamaduni wetu). Sitarajii na wala sifikirii birth day party!
 
<p>

</p>
<p>&nbsp;</p>

mhh are you Jehovah's witness?
 
<p>
Wengi husherehekea birth date zao kila zinapofika. Huwa hawajali kuwa wameupunguza mwaka wao mzima wa maisha yao huku pengine hakuna hata moja alilolifanya la maana la kujisifia hata yeye mwenyewe mbali ya kumsifia sisi.... Na kwanini tusiseme tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuufikia mwaka mwengine? Now birth date yangu imekaribia ila nahisi sipaswi kuifurahikia bali wa kuifurahikia ni wengine kama tu lipo la kufurahikia uzao wangu. Sijuwi nipo sawa au sijitendei haki???
</p>
<p>&nbsp;</p>

mie ndio sikogo na interest na hilo jambo kabisa na silipendi pia nilikialikwaga naendaga tuu kishingo upande
 
mweee mi napenda weweeee dah kata keki tule kata keki tuleeeeee kata keki tuleeeeeeeeeeeeeeeeeeewote.....:love:
napenda kuudhuria za watu tu bt nt me...so pls mkisikia kuna bthday kwa jiran yako apo pls n pls let me knw haijalish nina kad au sina kinachotakiwa ni KKKKEKKKI....:love::love:!!!!!
 
Dah! Mimi huwa nasahau. B.day yangu ikifika naombeni wanajf mnikumbushe.
Senks in advansi!!
 
mweee mi napenda weweeee dah kata keki tule kata keki tuleeeeee kata keki tuleeeeeeeeeeeeeeeeeeewote.....:love:
napenda kuudhuria za watu tu bt nt me...so pls mkisikia kuna bthday kwa jiran yako apo pls n pls let me knw haijalish nina kad au sina kinachotakiwa ni KKKKEKKKI....:love::love:!!!!!

hahahahahahah!
Duh!
 
Wengi husherehekea birth date zao kila zinapofika. Huwa hawajali kuwa wameupunguza mwaka wao mzima wa maisha yao huku pengine hakuna hata moja alilolifanya la maana la kujisifia hata yeye mwenyewe mbali ya kumsifia sisi.... Na kwanini tusiseme tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuufikia mwaka mwengine? Now birth date yangu imekaribia ila nahisi sipaswi kuifurahikia bali wa kuifurahikia ni wengine kama tu lipo la kufurahikia uzao wangu. Sijuwi nipo sawa au sijitendei haki???

Mamayangu alipo jifungua alipata kifafa cha uzazi,for a week alikuwa hajitambui na mimi nilikuwa napelekwa kunyonya ziwa lake tu!
Kuna haja ya kusherekea kuzaliwa kwangu hapa?

Umenipa wazo kubwa sana,wanao paswa kusherekea ni wale wanao ona nimefanya nini mpaka sasa sio mimi,na infact huwa nasherekea birthday ya mamangu kama yangu vile na sio yangu mwenyewe!
 
mweee mi napenda weweeee dah kata keki tule kata keki tuleeeeee kata keki tuleeeeeeeeeeeeeeeeeeewote.....:love:
napenda kuudhuria za watu tu bt nt me...so pls mkisikia kuna bthday kwa jiran yako apo pls n pls let me knw haijalish nina kad au sina kinachotakiwa ni KKKKEKKKI....:love::love:!!!!!

Umenikumbusha zamaani wakati tulipokuwa wadogo, yani tulipenda harusi zisiadimike kwa ajili ya pilau tu na mazagazaga mengine. Na kama zitaadimika saana, basi tulikuwa tunaomba dua afe japo mtu mtaani ili tuje tule halua, tende na visheti tu.... (utoto bwana, we acha tu!)
 
Pamoja na thread hii ya karibuni, nilikuwa nimeshasahau. Ama kweli mtu haachi asili yake.
Nilishasahau kama 13 Apri ndiyo BIRTH DATE yangu. Na kilichonikumbusha ni zile wishes nilizoziona ktk fb saivi. Inshaallah M/Mungu anijaalie umri mrefu wenye mafanikio.
 
Kwa mara ya mwanzo naikumbuka tarehe 13 April ndani ya 13 April.
 
Wengi husherehekea birth date zao kila zinapofika. Huwa hawajali kuwa wameupunguza mwaka wao mzima wa maisha yao huku pengine hakuna hata moja alilolifanya la maana la kujisifia hata yeye mwenyewe mbali ya kumsifia sisi.... Na kwanini tusiseme tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuufikia mwaka mwengine? Now birth date yangu imekaribia ila nahisi sipaswi kuifurahikia bali wa kuifurahikia ni wengine kama tu lipo la kufurahikia uzao wangu. Sijuwi nipo sawa au sijitendei haki???

Wewe inabidi uishi kwa maisha ya sasa. habari za kupunguza maisha zitakupa msongo wa mawazo mana huwezi kuishi milele.
furahia maisha kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom