Nipo online, niulize swali lolote juu yangu nami nitakujibu (interview)

Hahahaaaa

Kweli lazima ajibu....

Nyie hahahaaaa mwisho
Kujibu sio kazi kama wengine wanavyodhan, ila je unauliza kwa mantiki ipi? kama mantiki ni daraja F hautajibiwa kama unavyotaka. Ila mantiki ikiwa darja A, utajibiwa hadi utapenda.@mzurimie
 
Kujibu sio kazi kama wengine wanavyodhan, ila je unauliza kwa mantiki ipi? kama mantiki ni daraja F hautajibiwa kama unavyotaka. Ila mantiki ikiwa darja A, utajibiwa hadi utapenda.@mzurimie
Umewaza nini mpaka ukaamua kuwataka watu wakuulize maswali?

Unaelimu ya kiwango gani hapo ulipo?
 
Umewaza nini mpaka ukaamua kuwataka watu wakuulize maswali?

Unaelimu ya kiwango gani hapo ulipo?
Nimewaza vitu vingi and mambo mengi, kwa upana na weledi yakanifu kwayo mambo. kiwango cha Elimu yangu nimeiweka katika bio, ila kwa faida tu nina KITAAOLOGY.
 
Abdul nijibu: ili tanzania iweze kufikia uchumi wa juu inatakiwa itekeleze mikakati gani ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiimani.
 
Hapana, kwa sasa sio mwf. By the way i am free young entrepreneur, innovation idealist and teacher by prfssional. Also founder of www.jamiichat.yooco.org where this time i uses to build and run it.

Ok

Ushauri tu jibrashi upande wa lugha hiyo zaidi zaidi. Mfano unarudia tu kusoma ulichoandika na kuanza kugundua kuna kutokwenda sawa.... Gugo ipo nayo mwalimu wa mtandaoni utafika tu...

Ni mimi mpenda kishwahili, ila nacho kigumu
 
Ahsante! Ushauri nitaufanyia kazi.
 
Abdul nijibu: ili tanzania iweze kufikia uchumi wa juu inatakiwa itekeleze mikakati gani ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiimani.
Kwanza naomba ufahamu mgawanyo wa uchumi, kuna uchumi wa chini(ndiyo tz ilipo), wa kati na wa juu. Hivyo ili kufikia uchumi wa juu itachukua miaka mingi kdgo. Ili kubadili mfumo wa uchumi, inatakiwa 1.Kuweka mikataba mathubuti na kuvunja mibovu baina yet na wawekezaji. 2. Kubadili mfumo wa elimu kutoka kuandaa watu(75%) kutegemea kuajiriwa na kuwa wa kuandaa watu (75%) kupata elimu ya kujiajiri na kujitegmea ikiwa pamja na elmu ya ujasiriamal kuanzia drs Saba. 3. Kuboresha na kubadili KATIBA iliyopo. 4. Kuboresha huduma za jamii k.v.maji,(mfano, milion 150 zlzohdw na JPM,Zitumke kuanzisha opereshen ya kuchimba visima vrfu 10 kila kijiji hvyo kuondoa adha ya maji.)[/red] IMANI, kila mtu awe huru kuabubu ilimradi asivunje katiba ya nchi.

Ni hayo tu kwa uchache Cc Comred Mbwana Allyamtu
 
Ok

Ushauri tu jibrashi upande wa lugha hiyo zaidi zaidi. Mfano unarudia tu kusoma ulichoandika na kuanza kugundua kuna kutokwenda sawa.... Gugo ipo nayo mwalimu wa mtandaoni utafika tu...

Ni mimi mpenda kishwahili, ila nacho kigumu
Hahaaahaah!
 
Ndugu WanaCC.

Kwanza kabisa habari zenu...!!

Cc wanaJf wote,
Itifaki imezingatiwa.
Pili, kwa kuwa mimi napenda sana kujifunza kupitia watu, sasa naomba niulize swali lolote juu yangu nami nitakujibu Kwa kutumia online time.
Unampenda Yesu? Je umempokea kuwa Bwana na mokozi wako?
Kwa unavyojiona je ukifa utaenda mbinguni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom