Nipo online, niulize swali lolote juu yangu nami nitakujibu (interview)

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
876
923
Ndugu WanaCC.

Kwanza kabisa habari zenu...!!

Cc wanaJf wote,
Itifaki imezingatiwa.
Pili, kwa kuwa mimi napenda sana kujifunza kupitia watu, sasa naomba niulize swali lolote juu yangu nami nitakujibu Kwa kutumia online time.
 
OLINE ndo wapi??
 
Naishi Tanzania, mikoa ya kanda ya pwani, nina miaka 20' na JF Ninaisaidia kwa kwa kuwashawish marafiki na ndugu kujiunga nayo kwan hadi sasa wameshajiunga watu zaidi ya 10 kupitia mm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom