Nipo njia panda!

huyo dada ni kama vile anamtonya membe kiaina kwamba "wewe zamu yako next time but make sure you don't come with ur boss"
 
Daaaaaaah! Hapo Mkweere wallah tena kasukuma nGOZI, unacheki picha ya pili hapo: mdada kaziba nanihii yake, ****** katia mikono mfukoni kunyanyulia suruwali: hapo huenda wamekurupuka mchezo haujaisha vzr wameshtuliwa "oyaa, tunachelewa flait mkuu" hahahaaa!
 
hiyo picha ya pili ni ka ****** anamuuliza membe kua vp bwana hujaiba kweli kule chumbani uliko lala
 
Jamani apa Membe alikuwa makini ili mdada asije akamzushia Jk yale mambo yetu kama yule aliyekuwa bosi wa IFM. Sandals apo sio UN ni hotelini jamani. Au kwakuwa wamependeza ! Waenga walisema KAZI NA DAWA
 
Yote poa utalii, vyandarua, hata kujichanganya na machangu yote maisha kodi inateketea
 
Rais wetu inapendeza sana ukiwa naye safarini maana naona mambo flani mnakula na kucheka tu. nyie mwala nchi tu hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania
 
waacheni tu wanasiasa watoane roho kwa kugombea uongozi,kuna raha zake bana za bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom