Nipo njia panda

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Nimewahi kuwa na mpenzii ambaye nilimkuta akiwa bado kigoli katka mahusiano yetu niligundua alikuwa mwongo sana na kila kitu yeye ni mbishi sana ukimkataza kitu atakubali kuacha ila siku hiyo hiyo unamkuta anfanya hilo hilo ulilokataa. nilikuwa nikimkataza kuhusu kutumia line ya tigo coz mimi nilikuwa natumia voda atakubali ila ndani ya dkk tu tayari tigo iko hewani tena iko busy ukimuuliza anabisha basi ikabidi niangalie ustaarabu wangu Mungu jaalia nikapata binti mwenye sifa zoote za kuwa mke wangu tukapendana sana na nikamweleza kila kitu kuhusu x g.f wangu akanielewa. Baada ya kama miezi miwili x.g.f akanieleza kuwa ana miezi miwili hajaenda siku zake alivyoenda kupima kweli akaonekana ana mimba ya miezi na kliniki kaandika jina langu kama Baba jukumu la mtoto nikaona ni langu nikakubali coz kwa mahesabu yangu niliona uwezekano ni mkubwa ila ikabidi nimweke wazi siwezi kumwoa yeye kutokana na tabia zake hasa ya uongo ila mtoto nitamlea mimii tatizo linakuja namna ya kumweleza mke wangu mtarajiwa kuhusu hili coz naona kama mwanzo wa kumpoteza,,,,,,,,, msaada wa mawazo jamani
 
No huo ni mfano tu ni ngumu kuandika yote ila inshort hakuwa mkweli ukiwa naye hivi saafi sana kingine kibaya chochote mtakachofanya ama utakachomfanyia lazima kila amzungukae afahamu si kwamba namlaumu kwa hili tatizo alishindwa kubadilika kiuweli wasichana wengi walikuwa wakinipenda katika yale mazingira niliyokuwepo kutokana na elimu pia na kazi yangu so mara nyingi alisababisha ugomvi na wasichana hata wasio na makosa kisa tu kasikia nilikuwa nikiongea na fulani inshort ni mengi tena kwa mwaka mzima
 
Usimwambie kitu mpenzi wako wa sasa, uchune ukishamuweka ndani then utamuambia kila kitu.Ukisema saiz unaweza ukakosa vyote
 
Umemwacha eti sababu yy anatumia tigo ww unatumia laini ya voda,...mmmmmmhhhhhhhhhh!......if i got you true anyway
 
mweleze ukweli ajue kusuka au kunyoa mapema,ukimficha na hilo pembe la ng'ombe! sijui itakuwakje mbeleni,
 
Dahh tatizo sijui atalipokea vipi mkuu coz kuna mawili kunibwaga ama kunielewa akinibwaga litakua tatizo kubwa sana coz tayari nafsi imempa100%
 
a statement is not clear..... bt rem u v passed all these preliminary stages so respond according to the thread and not otherwise
 
Ninafikri kuhusu hili... pia hawa wasichana wanafahamiana ingawaje kwa sasa wako mbali naogopa sana huy mpenzi wangu akifahamu hii kitu kupitia watu wengine daaahhh
 
Ulisha mueleza tangu mwanzo kuwa ulikuwa na mtu, sasa unaogopa nini kumueleza matokeo ya kazi mliyopata kutoka kwa huyo X girl friend wako, funguka kijana kuuzima moto kabla haujawa mkubwa.
 
Nimewahi kuwa na mpenzii ambaye nilimkuta akiwa bado kigoli katka mahusiano yetu niligundua alikuwa mwongo sana na kila kitu yeye ni mbishi sana ukimkataza kitu atakubali kuacha ila siku hiyo hiyo unamkuta anfanya hilo hilo ulilokataa. nilikuwa nikimkataza kuhusu kutumia line ya tigo coz mimi nilikuwa natumia voda atakubali ila ndani ya dkk tu tayari tigo iko hewani tena iko busy ukimuuliza anabisha basi ikabidi niangalie ustaarabu wangu Mungu jaalia nikapata binti mwenye sifa zoote za kuwa mke wangu tukapendana sana na nikamweleza kila kitu kuhusu x g.f wangu akanielewa. Baada ya kama miezi miwili x.g.f akanieleza kuwa ana miezi miwili hajaenda siku zake alivyoenda kupima kweli akaonekana ana mimba ya miezi na kliniki kaandika jina langu kama Baba jukumu la mtoto nikaona ni langu nikakubali coz kwa mahesabu yangu niliona uwezekano ni mkubwa ila ikabidi nimweke wazi siwezi kumwoa yeye kutokana na tabia zake hasa ya uongo ila mtoto nitamlea mimii tatizo linakuja namna ya kumweleza mke wangu mtarajiwa kuhusu hili coz naona kama mwanzo wa kumpoteza,,,,,,,,, msaada wa mawazo jamani

Tigo tu, hakuna jingine lililozito zaidi? Labda ujauzito mchanga ilikuwa unamsumbua.
 
umemuacha kwa sababu ya kutumia line ya tigo?
inaelekea wewe ni mtu unayependa ku-controll mwenza wako, ulimuuliza kwa nini anatumia line hiyo? kama ana mzazi wake kijijini anayetumia tigo abadili thebn amwarifu kuwa kabadili, (anyway huu ni mtazamo wangu).

maji yakishamwagika hayazoleki, kwa vile huyo msichana mwenye mimba ni ex girlfriend wako, mueleze ukweli mpenzi wako wa sasa, kwa mwanamke mwenye busara ataelewa kuwa huyo ni ex wako. tena atakushauri jinsi ya kumhandle. usithubutu kumuoa then ndo umwambie, hilo ni kosa; itaonnyesha kuwa hukuwa muwazi na mkweli pia utanmfanya amchukie mtoto.

hakuna kitu kizuri kama ukweli kwenye mahusiano na uaminifu, ukimwambia hata kama atanuna, atalia nk lakini atakuheshimu na ataridhia, mwache afanye uamuzi mwenyewe kuendelea kuwa na wewe au la.

ingawa mimi binafsi sioni tatizo kwa sababu huyo ni ex.

all the best kaka.
 
No ci hilo tu huo ni mfano rahisi ila kwa m2 mkweli hawezi kukubaliana na ww kisha akafanya kinyume chake si mara moja tu haziesabiki, wazazi wake wote nafahamu wanatumia Zain kama mme kusikilizwa ndo jambo la kwanza na hakuwai kuniambia sababu hasa, iweje hadi mie ndo niwe nambp et ndo aweke voda nooo..... thanx for ua advice
 
Back
Top Bottom