Nipo njia panda!!!!

Sebali

Member
Apr 24, 2011
38
1
Nashindwa kuamua ni njia ipi ya uzazi wa mpango nitumie,kwani zinazofaa zote zina madhara makubwa,sindano naogopa kitambi,kitanzi maumivu ya tumbo na kansa,kondom ikipasuka ni hatari na zingine zinawasha,vidonge adhabu kunywa kila kukicha,kila njia inamadhara.hapa nilipo nina watoto wawili ukiwaona kama mapacha.
 
the best way kama huwezi kalenda na kama muzee wako ni wa kupenda ubishi wanawanii basi tumia condom ni safe zaidi,akishaejaculate anatoa.madokta wote unaowajua hawatumii hiyo midawa wala vitanzi wanatumia condom,zipo nzuri kama roughryder,kuna zingine zinauzwa 4500 nimesahau jina nk, kwann uishi kwa wasiwasi? viongozi wa dini wanaokata ndio hao hao wanaozitumia kwa sana hata kwa wake za watu ili kuepuka mimba. zinduka tumia condom.
 
........kweli dear haya madawa ya kupanga uzazi si salama hata kidogo, kuna utafiti umeshasema yanachangia sana cancer ya matiti na kizazi kwa sisi wanawake. Njia salama ni calendar tu.........ukishajua mzunguko wako wala hutopata tabu.
 
Huyu anapenda sana ngono hata zile cku za bld anaona mzigo, kwanza nikuulize swali umeolewa? Au ni wale wa ngono kazi
<br />
<br />
Ah!taratibu bwana,mimi nimeolewa kwani ngono kazi siyo mpango siku hizi,huwezi ukapenda chakula ambacho hata ladha yake huijui,nadhani wewe pande hizo bado mgeni
 
Ni PM nitakupa namba za DOKTA wa TIBA ZA ASILI atakupa MBEGU ZA MTI ambazo utakua unazitumia siku za hatari tu, hazina madhara yyt kiafya.
 
Back
Top Bottom