Nipo kwenye ndoa kwa maiak 25 lakini sijawahi kumpenda mke wangu

Optic Density

Member
Apr 29, 2012
28
7
[h=3]Wana JF nimekutana na hii kitu kwenye blog ya Dina marious. Huyu jamaa mwenye umri wa miaka 48 anaomba ushauri;[/h]
Anasema tatizo lake kubwa linalomsumbua.Anasema yeye na mkewe wamekuwa pamoja kwa miaka 25 ya ndoa lakini amegundua hajawahi KUMPENDA MKEWE.
Anasema alikutana na mkewe wakiwa shule na wamejaaliwa watoto wawili ambao kwa sasa ni wakubwa kabisa.

walikutana shule na ilibidi kumuoa kwa vile walikaa muda sana kama wapenzi.
Japo wamekuwa pamoja kwa muda mrefu amegundua hakuwa in love nae.Kila akikaa nae na kumuangalia hafeel chochote kabisa.Anajua ni jinsi gani mkewe anampenda na lakini anaona hayupo tayari kuendelea kuishi nae mpaka mwisho wa maisha yake.Mkewe ni mtu poa wala hajawahi kumkosea.Yupo yupo tu pia haelewi kama yupo sahihi.

Haya mwenye ushauri anweza kumsaidia huyu jamaa afanye nini.
 
hiki kiranga.

Labda akija mwenyewe ntaweza mshauru live on stage nione kama atapenda.
 
Mhhhhhhhh.... Huyu mwongo.... Miaka 25 Leo utake kutoka Ana Kiranga.
 
Kuna kabinti hapo mtaa wa jirani kanamzuzua. Akishaliwa fedha za kutosha na kupewa gonjwa maridhawa ndiyo ataelewa kuwa anampenda au la huyo mke wake.

Kama wanavyosema wengine 'pumbafu kabisa'
 
watu wengine kama cio binadamu wa kawaida jamani hivi miaka 25 unaishi naye wa nini sasa cpati picha jinsi anavyomtenda mwenzie Mungu ampe uvumilivu huyo mwanamke
 
...Duh! huu ni usanii wa hali ya juu!!!!...Miaka 25 ya ndoa halafu anadai hajawahi kumpenda mkewe!!!!



 
Last edited by a moderator:
Atakua kampenda Dina gafla uyo akajikuta anatumia njia iyo.Miaka 25 ya ndoa !!!Alikua wapi?Alafu eti anadhani hatoweza kuendelea na mkewe mpaka mwisho?Amzalishe mtoto wa mwenzio alafu saivi amwache! amwachie nani!!
 
Walikuwa wachumba kwa muda mrefu,akaoa,wakaishi miaka 25,UKIMWI UNAMUITA!
 
Jamaa kavamiwa na mapepo mabaya huyo anahitaji maombi. na ukiona hivyo anatafuta sababu ya kuhamia kwa kimada aka Nyumba ndogo
 
Kuna watu kila umri unavyo enda ndo wanapoteza akili, na wengine wanazidi kuwa na akili.

Huyo kama sijakosea sana yupo katika ile ya kupoteza akili.
 
hayo matusi yote hayajamtosha,atakua ni bwabwa huyo....anataka kuolewa huyo....
 
huyo atafute sababu nyingine ya kumuacha mkewe lakini sio hilo
 
Back
Top Bottom