Nipo bize sana....why inaudhi....??????

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
Hivi kawa nini kwenye mapenzi
ikitokea umeambiwa au umemwambia mwenzio

niko bize sana.......

Always huwa inaleta ugomvi au kutokuelewana??????????

I mean kama mtu uko bize sana kikweli kweli...
Lugha ipi sahihi????

Mi naona hasa wanawake wanachukia mno na hili???
 
cz mda uleule jana majuz mwakajana aukuwa bze bt nw ushapata ulichoktaka ndo ubze umezaliwa?
ndo mana vihasira vnakuja

bt ni maelewano tu km anaelewa kaz yako na ukimwambia npo tyt kdg atakuelewa..lakij si jana ulimwambi anipo bze kazn saa 2 usiku io afu ukarud sa 5 ukiwa njwiiiii umelewa ..kesho ukimwambia nipo bze hatakuelewa
 
Kuna wengine hata kuelewa hawaelewi...
Ukisema tu uko bize ni ugomvi....
 
Kwa kutegemea na subject, ni vyema kusema; "sorry honey, i was just in the middle of something, can i finish it then i will call you back plz. give me a couple of minutes, plz honey" hapo lazima graph itapanda!
 
kwa kutegemea na subject, ni vyema kusema; "sorry honey, i was just in the middle of something, can i finish it then i will call you back plz. Give me a couple of minutes, plz honey" hapo lazima graph itapanda!


kuna ubize mwingine hata mda wa kusema yote hayo hupati....
 
Hapa inategemea na approach ya sauti na maneno utakayotumia kamshikaki ka ulimi muhimu.
 
...depends na unavyoitamka. ukiitamka vibaya, inasikikana kama " sina muda tena na wewe!"


how mfano ukimwambia aisee nipo bize mno leo,nitakupigia....

How is that?
 
Wachana na neno bize kabisa, atakuaribia siku bure. Kumbuka everyone is busy on his/her own time.


...Nice,
hata mimi nimejifunza hapa. Clarify huo u busy...i.e " Nimezidiwa kikazi/Masomo/ majukumu...nk!"

 
Inategemea hiyo busy yako unaisema vipi?? Na lini??
Isiwe unakuwa busy kila wkend tu .......
 
mmmh! Upo bize 24hrs.
The whole week, month, year,decade, century, millenium....
Khaaaa!
 
Useme uongo tena???, akija kujua kama huwa unamwambia uongo, huo moto wake sijui kama utaweza kuuzima.....uongo wa siku moja unaweza kukugharimu maisha yako yote...
Usiongee uongo kabisa,,,wewe jifunze tu jinsi ya kumwambia hiyo busy yako ,na kwa wakati gani ili kuepusha matatizo kati yenu.
 
wanawake ni wa2 wa kuelewa sana zaidi inategemea na namma gani 2najieleza mbele yao. Uki2mia lugha laini na kuonyesha unamjali mwenza wako naamini atakuelewa.
 
Inategemea unalitumiaje hilo neno unaweza sema uko busy wakati unapiga story na marafikizo :bored::bored:
 
Naomba kahama maada, nadhani hapo unapata kigezo cha kumtambua mke kwa wale wasio oa.
kwa upande wangu huwa nakuwa bize sana nashukuru mung my wife nimuelewa sana nikimwambia nipo bize atanisumbua kama sijala
 
Back
Top Bottom