Nipishe niingi mjengo

Hkeen

Member
Aug 17, 2011
95
4
Nahitaji barka zenu nisonge . . . Mi bado mchanga sana humu ndo naanza crowl kwakusota . . . !
 
Karib nimekuwekea mkeka sebuleni!

ha! Ha! Wanikumbusha kwetu mahenge, ngoja nikunje msuli, bakora kwapani, nipate hatasuna! Wapi yule koo mwekundu! Nataka weka ubavu. . . . .hila hili bao lanivuta ngoja nisogeze kete huwenda nyota ya jaah! Mlango wa jirani /elimu wanivuta ngoja nisalimu.
 
Back
Top Bottom