Nipepo wa ngono au ni kawaida??

Jamani, nina rafiki yangu wa kike, yeye anapenda sana kufanya mapenzi.Yaani kama siku sijaenda kazini, anataka mchana apate round kadhaa, usiku tena round kadhaa, ikiwezekana anataka si chini ya round tatu(mchana 3 na usiku 3) au zaidi? Jamani hii hali ni yakawaida au huyu dada anapepo wa ngono? Nawakilisha!!!!!!!!!!1
Unaonekana una-beep sana twaaanga.
 
Huyo nadhani yupo katika siku zake mayayi yanapita kutafuta watoto. Siku hizo ndo mwanamke hakiwa hana kitu cha kufanya anataka dose sana ni kuongeza nafasi ya kupata mimba mambo ya nature. Wanasayansi wamesibitisha hiyo we enjoy while it last.
 
Mtafutie kazi ya kufanya huyo gelofrendi atapunguza hayo madozi...
 
kwa kawaida mwanamke ana kiungo kiitwacho G spot na tafiti zina onyesha kiungo hicho kiki guswa vizuri hutoa ute mwingi na hapo mwanamke anakuwa amefika kileleni hali hii hupelekea kutosheka na kutotamani kila mara tendo so I think humfikishi huko.

Mh! Too much details....!
 
dah..mwana inaonekana we ukipiga a, e, i, o, u mzigo huoooo.....kama vp nikodi ka atataka tena mchezo huo....!
 
Jamani, nina rafiki yangu wa kike, yeye anapenda sana kufanya mapenzi.Yaani kama siku sijaenda kazini, anataka mchana apate round kadhaa, usiku tena round kadhaa, ikiwezekana anataka si chini ya round tatu(mchana 3 na usiku 3) au zaidi? Jamani hii hali ni yakawaida au huyu dada anapepo wa ngono? Nawakilisha!!!!!!!!!!1

Kabla sijachangia mada naomba nijue 'unawakilisha' au 'unawasilisha'?? Nahisi kama pepo la kutojua kiswahili linakunyemelea.
 
Jamani, nina rafiki yangu wa kike, yeye anapenda sana kufanya mapenzi.Yaani kama siku sijaenda kazini, anataka mchana apate round kadhaa, usiku tena round kadhaa, ikiwezekana anataka si chini ya round tatu(mchana 3 na usiku 3) au zaidi? Jamani hii hali ni yakawaida au huyu dada anapepo wa ngono? Nawakilisha!!!!!!!!!!1

mkuu pole sana;hayo yalinikuta nikiwa naelekea kufunga ndoa nae nilipoomba likizo ndipo nilipojua siku nikiwa kazini yukoje..kwanza ni kafanya biashara lakini kaliishia kulala na kuamkia nanii yangu mpaka kuna siku nkamfwata dk mmoja pale tmj wa kihindi rafikii yangu nkamwambia niangalizie kama kuna Mbegu zimebaki??Hakika nilipachana nae ndugu sikuamini kama ntakuja pata mtoto maana zilikuwa zikimwagwa kama maji ya DAWASCO...niliishia kumwambia mungu anionyeshe njia sijui na wala sitak kujua niliamwahcaje yaani mmpaka nkamuuliza Mungu haya ndio mapenzi tunayoongelea kitabuni ama??Wengine ukitaka kujua mapepo kwenye romance wakifika kule chini wanavuta llile Ganda la Mbegu kama wanatafuta Madini..niliteseka sana mwakamzima na si unajua enzi hizo damu inachemka siku nilipooa nillipopata mtoto nilienda toa sdaka kubwa siri yangu..nkaenda tena TMJ wanicheki zimebakia za kuendelea kuzaa..watch out wabaya sana....,
 
Jamani, nina rafiki yangu wa kike, yeye anapenda sana kufanya mapenzi.Yaani kama siku sijaenda kazini, anataka mchana apate round kadhaa, usiku tena round kadhaa, ikiwezekana anataka si chini ya round tatu(mchana 3 na usiku 3) au zaidi? Jamani hii hali ni yakawaida au huyu dada anapepo wa ngono? Nawakilisha!!!!!!!!!!1

Ukiona hivyo ujue hana kazi ya kufanya, kwa kifupi ni wale kula kulala. kama sio hivyo basi huduma unayompatia inamapungufu ingekuwa tuko karibu ningekueleza nini cha kufanya. ila kutokana na sababu za kiimaadili ngoja nimalizie kwa kusema mwambie atafute kitu cha kufanya. SIO PEPO WALA NINI.
 
We limaa shambaa banaa...unalalamikaa mikaa nini?ukinyiwaaa lawamaa mamaa kajiachia lawamaa,subiri ukianza kusaidiwa we ukishindwa
 
huyo sio jini mahaba ,mimi nilikuwa na jini kabisa sema bada ya kupiga maombi makali likapotea kabisa
 
Aise apo kazi unayo. Ebu jaribu kumuuliza wakat mnapo maliza kufanya game kama umemridhisha.... kama ndugu yangu unawai kumwaga maji nalo linaweza kuwa tatizo.
 
Du Sinai bado mtoto,hebu anza na kula chumvini halafu malizia na katerero, kama atakukaribia kila mara au ni kabamia?
 
Nadhani tatizo kama cyo kabamia basi usikute unajitangaza jamvini kuwa wewe ni mwanamme wa shughuli siunajua wengi wanamatatizo ya nguvu za kiume. Jamani jitokezeni biashara...
 
Nasikia wapo watu hivyo ila kama mna wasi nendeni kanisani akasaliwe

Africana jr GROAN kubwa kwako
 
Back
Top Bottom