Nipeni ushauri kwa hawa wanawke watatu

PAS

JF-Expert Member
May 3, 2010
454
8
WADAU hali zenu???
nina gf wangu tupo nae zamani, ila apa miezi michache nimekuwa na uhusiano na wengine kwa mda huu, yan ni kweli nawapenda nao wanakubali kuwa nawapenda na wapo tayari kuwaacha wa kwao ili wawe nami, ili wao wanawaswas kama nawadanganya sababu uyu GF wangu nipo nae muda mrefu..

Kiukweli kuna uyu GF mmoja wa nje ana vigezo vyoote abavyo mi navitaka na ninamkubali sana hata katika mambo ya maisha ya baadae yani ni mshauri mzuri.

mwingine yeye ndo mruri balaa ila mjanja japo ana upendo kama wengine ila yeye tukiwa nae kwenye simu wanampigia kila mara kumtongoza japo ana msimamo,ila was wangu ktk 10 wanaomtongoza hivi ata mmoja hatamkubalia???

Uyu GF mwenyewe"mamaa' yeye haeleweki yan anfata tu kila nsemacho wkt inabid awe mshauri pia... yan yupo yupo na ndo ana upendo kuliko woooote.

SASA NAITAJI USHAURI WENU WADAU
 
PAS acha umapepe hao magirlfriend wote wa nini??????? Si uwe naye mmoja tu unavyoachagua utadhani nyanya
 
Mchukue huyo wako wa zamani achana na hao usiowajua vizuri.
Zimwi likujualo?
 
Yani, hii kwangu mimi ni kichefuchefu haswaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
chambua kama karanga * 2....chagua wote,tangaza ndoa kwa wote, chakachua wotee na ukimwi juu!!
 
WADAU hali zenu???
nina gf wangu tupo nae zamani, ila apa miezi michache nimekuwa na uhusiano na wengine kwa mda huu, yan ni kweli nawapenda nao wanakubali kuwa nawapenda na wapo tayari kuwaacha wa kwao ili wawe nami, ili wao wanawaswas kama nawadanganya sababu uyu GF wangu nipo nae muda mrefu..

Kiukweli kuna uyu GF mmoja wa nje ana vigezo vyoote abavyo mi navitaka na ninamkubali sana hata katika mambo ya maisha ya baadae yani ni mshauri mzuri.

mwingine yeye ndo mruri balaa ila mjanja japo ana upendo kama wengine ila yeye tukiwa nae kwenye simu wanampigia kila mara kumtongoza japo ana msimamo,ila was wangu ktk 10 wanaomtongoza hivi ata mmoja hatamkubalia???

Uyu GF mwenyewe"mamaa' yeye haeleweki yan anfata tu kila nsemacho wkt inabid awe mshauri pia... yan yupo yupo na ndo ana upendo kuliko woooote.

SASA NAITAJI USHAURI WENU WADAU
Hapo kwenye red huo ni mtandao wa ngoma kuwa makini.
 
waache wote na utafute mpya!! naana unaonekana hujui nn unapenda
 
Mkubwa thats too much. Kwa hiyo unatuambia hivyo kujionesha kuwa unawachanganya, kichefuchefu kweli jomba! Mla, huliwa!
 
Are you okay bra?

I think something is not happening in you

Kwa nini unawachanganya? Why not decide on one? Are you planning to merry em all or you are just a play boy?

Kama sivyo bra chagua mmoja then wasaidie wengine wakutoe moyoni watafute future ya mauhusiano kwa wengine otherwise utakuja kuwaumiza na itakugharimu maishani
 
PAS acha umapepe hao magirlfriend wote wa nini??????? Si uwe naye mmoja tu unavyoachagua utadhani nyanya

NDO NAJITAIDI NIWE NA MMOJA ILI am sure ntakua nae mmoja soon... we toa ushauri, uo umapepe ndo nataka mnishauri niache
 
Uyu GF mwenyewe"mamaa' yeye haeleweki yan anfata tu kila nsemacho wkt inabid awe mshauri pia... yan yupo yupo na ndo ana upendo kuliko woooote
.

If you wanna go for good go for this one, trust me you wont regret.
 
Mkubwa thats too much. Kwa hiyo unatuambia hivyo kujionesha kuwa unawachanganya, kichefuchefu kweli jomba! Mla, huliwa!

mbona hivo??? ndomdna naitaji ushauri wenu
 
Unatutania au?

Contrary to you signature
.....Mimi na CHAgua DEmu MApema wewe je??

Are you out of yourself? Sa mbona unachelewa kuchagua mkuu.......
 
NDO NAJITAIDI NIWE NA MMOJA ILI am sure ntakua nae mmoja soon... we toa ushauri, uo umapepe ndo nataka mnishauri niache

Hapa mimi nimekupa Big Up..........chnagamka mjomba chomoka na wako mmoja faster.....angalia yupi anamuelekeo utakaorandana na move zako....au sio babu
 
Are you okay bra?

I think something is not happening in you

Kwa nini unawachanganya? Why not decide on one? Are you planning to merry em all or you are just a play boy?

Kama sivyo bra chagua mmoja then wasaidie wengine wakutoe moyoni watafute future ya mauhusiano kwa wengine otherwise utakuja kuwaumiza na itakugharimu maishani

Bro awa wengine wanao watu wao ila wamawsema kuwa wanataka kuwaacha ili wawe nami,ila nashindwa kuwajibu maana naona ntamuumiza mamaaa...
 
Unatutania au?

Contrary to you signature
.....Mimi na CHAgua DEmu MApema wewe je??

Are you out of yourself? Sa mbona unachelewa kuchagua mkuu.......

ndio mapema sasa ivo nimeomba ushauri wenu ili niwe na mmoja mapeeeema

Bro awa wengine wanao watu wao ila wamawsema kuwa wanataka kuwaacha ili wawe nami,ila nashindwa kuwajibu maana naona ntamuumiza mamaaa...

Nawe unaye wako wa zamani . Hawa badae watakuacha kama wanavyotaka kuwaacha hao wenzio
 
Hapa mimi nimekupa Big Up..........chnagamka mjomba chomoka na wako mmoja faster.....angalia yupi anamuelekeo utakaorandana na move zako....au sio babu

mfano wewe hapo unaona yup yupo sawa???NSHAUR
 
nawe unaye wako wa zamani . Hawa badae watakuacha kama wanavyotaka kuwaacha hao wenzio

nami ndo was was wangu wasijeniacha maana hawa wanawake ni vigeugeu....
 
Back
Top Bottom