Nipeni ushauli fasta

Complicator EM

Senior Member
Dec 20, 2011
155
39
Baada ya kufika nyumbani nikitokea safari niliamua kumwandikia msg dada aliyenihudumiachakula kwenye kantini ya chuo kikuu fulani hapa tz. Msg yangu ilisomeka hivi


" Dada ninapenda kukufahamisha ya kuwa nimefika salama, ninashukuru sana kwa huduma yako, kwa kweli siku ile jioni nili-enjoy sana nikirudi huko sitaenda kwa mtu mwningine nitakutafuta wewe mwenyewe. Kwa kweli umenifurahisha sana"

YALIYONIKUTA BAADA YA MSG HIYO KUONWA NA MKE WANGU NI SIRI YANGU, Lkn yule mama naye kanipigia cm kasema kuna timbwili zito nyumbani kwake.
 
Hivi mbona hivi. wa2 2nafungua ili tucheke, 2naambiwa 2toe ushauri. Why why whx??
 
Back
Top Bottom