Nipeni Updates za Kesi ya Joshua Mkenya

Chenge

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
1,073
377
Ni muda mrefu sasa tangu Kova alipotutangazia kuwa mtuhumiwa wa shambulizi la Dr Ulimboka amekamatwa na kufikishwa Mahakamani.Mwenye taarifa ya nini kinachoendelea katika kesi ya Jeshua Mkenya anijuze tafadhali.
 
hivi kuna mtu anaweza kupoteza muda wake kufatilia hiyo movi la kichina..
 
Mtayarishaji kaishiwa kidogo anasubiri wawekezaji ili aweze kutoa part 2 !!!
 
Back
Top Bottom