Nipeni ufumbuzi wana JF kuhusu hili???

Jemsi

Senior Member
Mar 22, 2012
149
19
Jamani jina langu lipo kwenye admited facult TCU lakini clioni kwenye chuo nilichochaguliwa?nipeni ufumbuzi,
 
MAJINA YASHAENDA VYUONI...ila kwa hilo lako nadhan shida ni chuon na sio tcu...hapa unaweza pia wapigia tcu ukaongea nao kwa msaada zaid!!!
 
Back
Top Bottom