Nipeni report...si mnajua mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe

Saint Ivuga a.k.a mkulima wa Tangawizi kule mamba miamba naomba uwe na subira wakati wakaguz wanaendlea kuandaa report.
Una kifua?
 
Last edited by a moderator:
Siasa za Chit-Chat zimenikalia kushoto sana nauadeizi, mhm? Am I too serious?
Enewei, karibu tena Ivuga, niliukosa uwepo wako kwa muda, kuna kiduku generation walichafua sana hali ya hewa wakati Makamu wangu haupo.
Naamini heshima itarudi sasa...
Cheers!
asante sana mkuu wangu..hawa kiduku gereration tusiwasumbue ndio kizazi kijacho hiki
 
ndio namtafuta Rejao naona yuko bussy kiaina ....vipi mnatuletea mtoto lini? au hamtaki kuijaza dunia
Atakuja baadae maana mida hii anajiandaa kula,
Ndio najiandaa kumpa cha mchana lol!

BTW,Tayari nina ujauzito wa miezi 2,baada ya miezi 7 ijayo Rejao atakua anaitwa baba!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom