Nipeni mawazo kwa site hii (forum)

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
71
Mambo vipi wakubwa, hope michakato inaendelea kama kawaida.

Nimetengeneza forum site kwa ajili ya mobile phones discussions, na matarajio yangu ni kuwa na audience sehem mbali mbali duniani.

Sasa kwa stage niliyoifikisha nimeona si vibaya nikiwashirikisha wadau wangu wa JF tech and gadgets before sijai launch rasmi na kuanza kuipa promo.

Sasa naomba wakuu mnipe input ni wapi pa kurekebisha, wapi kwa kuongeza, na jinsi ya kuifanya iwe forum bora na ifanye vizuri kwenye area hiyo, kwa experience ya JamiiForums, ni matarajio yangu kwamba nitapata mawazo mengi ya kujenga na kuiboresha.

Wakuu Chamoto na wadau wote wa Jukwaa hili na wadau wa JF kama Invisible et al nitafurahi kawa mtanipa neno lolote either hapa kwenye post hii au hata kwa PM.

Nitafurahi kusikia kutoka kwenu.

site yenyewe ni www.mobilephonesforum.com
 
mimi binafsi sijapenda jinsi ulivyo weka forums za mobile brands, kuna brands nyingi sana na nimaarufu umeziacha kama vile HUAWEI,ZTE na WACHINA,nakushauri uweke Forums za platforms kama vile Android, iOS, Windows Phone, Symbian na nyinginezo
 
Thanks man, NOTED!!
 
sijui mwisho wako unataka iweje? pengine sijakuelewa yani unataka watu wachat kwenye simu au iweje? au wawe wanaongelea mambo mbalimbali ya simu zao? tafadhali nifafanulie, binafsi nimejisajili na sijui pa kuendelea japo hujaanza rasmi lakini nilidhani nitakuta kitu kinachofanya kazi tayari.

Ila umefanya kazi kubwa, hongera sana sana
 
Thanks mkuu, hii ni discussion board kama jinsi ilivyo jamii forums (jamiiforum ni wider na ime cover areas karibia zote) but hii ni specific kwa ajili ya discussions zinazohusu mambo mbali mbali ya simu na technology zake, challenges ambazo watumiaji wa simu wanakutana nazo, maswali mbalimbali kuhusiana na technolojia ya simu ulimwenguni, na kila kitu ambacho unaweza kukiwazia kuhusu simu yako. Thanks for registering, bado nakusanya maoni ya wadau.
 
Good work! Ila weka categories na boards ziwekwe kufuatana na category. Mfano Hacks & Tricks, unlock codes. Mimi nimekuwa developer wa SMF Forums kwa kama miaka miwili, so angalau naweza kukupa productive ideas on growing forums. Just ni PM
 
kwanini mkuu usimPM kwa maelezo zaidi kuliko kumwambia akuPM..
 
Firefox wazo zuri ila sasa mi nadhani ungeifanya ika target watumiaji wa simu wa afrika mashariki au afrika (ntakupa sababu later, maana natumia simu siwezi andika sana ), Donn sijui unazungumzia aspect gani? maana hii forum ni vbulletin sio smf.........
 
Last edited by a moderator:
nitafanya hivyo Ndeticha Sizungumzii designing, nazungumzia methods za kuunda successful forum, haijalishi kuwa ni bbpress, smf, vbulletin, mybb phbb or any just special features @C6
 
Last edited by a moderator:
nilitegemea kupata mobile version ya hii site manake walengwa wake ni watumiaji wa simu lakini haijawa hivyo. wazo ni zuri sana.
 
Ahsanteni wakuu, mawazo yenu nayafanyia kazi, nyasiro Mobile version ipo but sijaifanyia kazi kwa sana kuhakikisha compatibility and look iko poa kwa muda huu, but soon itakuwepo mobile version ambayo ipo compatible na browsers mbali mbali za simu na mwonekano mzuri.
TZ boy ndetichia na C6 karibuni sana wakuu. Donn nimekucheki kwa PM
 
Last edited by a moderator:
forum unaistall dk kadhaa kitu kipo online hio sio kazi ila kazi inakuja kuipromote na kufanya user wabaki katika forum hapa ndio kazi kubwa.

1. Utahitaji topic zenye akili na expert mbali mbali kwenye fani tofauti

2. Uwe na backlink kwenye website maarufu zinazoingia watu wengi. Mfano hapa jamiiforums unaweza lipia tangazo waeke link ya site yako then uhakikishe user wa hizo site utakazoeka link yako wapo interest na mambo hayo

3. Uwe na kitu special ambacho wenzako hawana. Mfano kama mimi naanzisha website ya siasa naeza muomba even kumlipa dk slaa then namueka awe anajibu maswali am sure 100% after some weeks nna member zaidi ya 1000.
 
Firefox nimeshindwa kuregister ile image verification haina kitu nimerefresh mpaka basi hamna kinachotekea.
 
Last edited by a moderator:
Natumia simu yenye android nimeshindwa kumaxmise na kuminimise ukubwa WA herufi kwenye site yako kama hayatanuki basically utakuwa umeinyima site kionjo kizuri sana.Ila mimi tayari ni member.
 
Back
Top Bottom