Nipeni maoni yenu kwenye furum hii

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,110
26,997
www.mitandao.pkrack.tk/index.php

Wakuu pitieni hapo juu na mnipe maoni yenu
 
Sina utaalama mkubwa sana kwenye web lakini kwa nini bado web developer na waanzisha site mpya bado wanatengeza site kwa standars na Protocol za XHTML na WAP wakati future ya web ni HTML5.

Ukitengenza au ukitafuta script zilizotegenzwa kwa HTML5 basi vifaa vya mobile vitaipata web yako bila shida tena kwa quality nzuri

soma makala hii inayohusu uchaguzi wa uchaguzi wa Wapsite Vs HTML5

Alafu site yao haijulikanai hata maudhui yake. . home page unaona tiitle na kutakiwa k usajili. Sasa mtu asajili wakati hajui asajili kuona nini. Ina maana umetumia hisia kila mtu anajua Darforum inahusu nini.

Kama site ni mpya iache iwe huru mambo ya usajili ni kujiweka vizingiti wewe mwenyewe wakati ndo kwanza unatafuta visitor . Unaweza tengeza user guest watu watumie free. kuona kuna nini. Lakini hii nayo kama scrip ina loopholes una jamaa hapa nimeona wanatafuta site za kujifunzzia. kuhack lol

Anyway hongera hayo ni maoni tu unaweza kuyapotezea kama utaona ni kukukatisha tamaa...
 
Back
Top Bottom