Nipeni Maana ya Neno 'MAKUBAZI' wakuu. . .

Life.co.tz

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
639
368
Alafu asiliya neno hilo ni wapi? Mwisho kabisa lisome Neno hilo ukianzia nyuma - kinyumenyume
 
We ulikuwa huna nia ya kujua maana ya hilo neno...ulikuwa unataka tulisome in revesre way..
Anyway hamna msikiti karibu uende ukaulize?
 
We ulikuwa huna nia ya kujua maana ya hilo neno...ulikuwa unataka tulisome in revesre way..
Anyway hamna msikiti karibu uende ukaulize?
Ok Mkuu nimekusoma hujakosea kabisa huko nitapata a real meaning
 
Hilo neno bwana ukiachana na maana hiyo ambayo we unajua lina asili ya kimakonde tukimaanisha viatu vya mataili ya masai
 
Back
Top Bottom